Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Hivi inawezekana vipi ukawa na Mwanamke mlevi? Haujui kuwa Kuna 100% za yeye kukusaliti akishalewa!
Hata kama anakunywa chini ya uangalizi wako Kuna siku hautakuwepo atalewa na kuishia kukusaliti.

Soma hiki kisa.

Jana jumamosi nikiwa zamu ya usiku kuamkia Leo jumapili nilikua na workmate wa kike aliyekuja na bia zake lengo ajipoze baada ya majukumu kupungua.

Ameolewa na ndoa yake Haina muda mrefu.

Muda ulienda na majukumu yakapungua kweli workmate akaamua kunywa bia zake huku Mimi nikiwa bize kuendelea na kazi ndogondogo zilizokua zimebaki hapo.

Kufupisha story

Workmate alilewa na kuanza kutengeneza mazingira nimchakate
Alipoona sielewi somo akaamua kuniambia wazi wazi kuwa ana n**ge nimchakate. Nashukuru niliiruka mitego yote maana nilishajiapiza kuwa siwezi kutembea na mke/Mwanamke wa mtu mwingine.

[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu tuliosoma cuba tushaelewa mchezo
 
Mawazo yako yakiwa hayo utahangaika mpaka unakata upepo.
Si haki sawa? Kwa hiyo na sisi kulewa poa tu.
Wapi pameandikwa wanaume ruksa kulewa,af mwanamke marufuku?
Nyie mkilewa huko hamtucheat?
Kwa hio na wewe sio ajabu kufir$#& km alivyojibu Evelyn Salt ? Kwamba yeye akilewa kufir&$- sio kitu Cha ajabu
 
Pombe unakunywa ukiwa umekunja uso kama umeng'ata ulimi.

Sigara unavuta moshi ndani ya mwili kisha unaitoa nnje.

Hizi starehe sijawahi kuzielewa na namwomba sana Mungu anijalie maisha yangu yote nisijichanganye kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nilijaribu pombe nikaona Haina maana nikaacha
 
Back
Top Bottom