kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,435
- 4,997
Hivi inawezekana vipi ukawa na Mwanamke mlevi? Haujui kuwa Kuna 100% za yeye kukusaliti akishalewa!
Hata kama anakunywa chini ya uangalizi wako Kuna siku hautakuwepo atalewa na kuishia kukusaliti.
Soma hiki kisa.
Jana Jumamosi nikiwa zamu ya usiku kuamkia Leo Jumapili nilikuwa na workmate wa kike aliyekuja na bia zake lengo ajipoze baada ya majukumu kupungua.
Ameolewa na ndoa yake Haina muda mrefu.
Muda ulienda na majukumu yakapungua kweli workmate akaamua kunywa bia zake huku Mimi nikiwa bize kuendelea na kazi ndogondogo zilizokuwa zimebaki hapo.
Kufupisha story
Workmate alilewa na kuanza kutengeneza mazingira nimchakate
Alipoona sielewi somo akaamua kuniambia wazi wazi kuwa ana n**ge nimchakate. Nashukuru niliruka mitego yote maana nilishajiapiza kuwa siwezi kutembea na mke/Mwanamke wa mtu mwingine.