Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Kizazi cha kina Junior mnastaajabisha sana, akimla Mke wa Mtu atasababisha Mke wake asigongwe na Wahuni?

Sana sana ni kujiongezea mikosi isiyo na ulazima, magonjwa ya zinaa, UKIMWI na hata uchumi kuparanganyika.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kwani kwa asiye mke wa mtu hapati mikosi na ukimwi[emoji23][emoji23]

sisi tunamuondolea uwezekano wa kuja kujioma ndezi huko mbeleni.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Pombe unakunywa ukiwa umekunja uso kama umeng'ata ulimi.

Sigara unavuta moshi ndani ya mwili kisha unautoa nnje.

Hizi starehe sijawahi kuzielewa na namwomba sana Mungu anijalie maisha yangu yote nisijichanganye kabisa.
Uso unakunja mwanzoni,ila ukilewa unakunywa tu kama maji
 
kumiliki mwanamke ni ujinga pia,sema hakuna namna. unaishi na limtu hakuna undugu nalo. na ukitaka kuoa unatakiwa kuchagua mtu wa mbali na ukoo wako
 
Back
Top Bottom