Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu basi atajitambulisha mara moja mwanzo tu wa mazungumzo yenu na ndipo mtaendelea na story, kwa Wabongo hali ni tofauti kabisa mnaweza kuwa mnakutana na mtu hata mwezi mzima mfano Bar mnapiga story ila hakuna kujuana kama mazombi.