Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta




duh!

kazi kweli kweli
 
Jambo la msingi kwa mzee wetu huyu ni kueleza upande wa pili ambao anaamini kuwa ndio sahihi na akithibitisha kwa vielelezo.

Tunauheshimu sana mchango wake katika kulirudishia Bunge letu hadhi baada ya kusimamia mabadiliko kadhaa ya kanuni za Bunge ili kulipa meno, lakini linapokuja suala la tuhuma kuelekezwa kwake hata kama zinapikwa na wabaya wake basi ni vema aturidhishe kwa kubainisha uongo wa hizo tuhuma na kuonyesha ukweli ulivyo.
 
Hizi ni porojo za kutupotezea muda tu. Nadhani wamelenga kuhamisha attenton kutoka kwenye suala nyeti la Richmond na Kiwira yatakayojadiliwa kesho bungeni........
 
kama ni ujumbe kwa spika Sita, umefika hasa, na kwa kawaida ukweli huuma. lazima aseme ishu zile za nyumba, gari katika wakati huu wa uchumi mbovu. ni kweli kuwa pia amefanya mambo fulani, lakini hakuna mtu mbaya kama mnafiki, anayeuma na kupuliza kwa style ya spika. kama ni usafi anatakiwa awe msafi tu. Na kama mtu akinunuliwa kusema ukweli, ubaya unakuwa wapi, si watu wananunua ujasiri wake. juzi tumemponda kijana yule na aya zake CHADEMA CHAMA CHA KISHETANI, Kwa nini leo tumsifu Sita hata kama mwizi.
 
Njaa ya baadhi ya waandishi wa habari na wahariri itaipeleka nchi pabaya. Hii agenda ya kumchafua Spika pamoja na wapiganaji wengine ni ya siku nyingi, na sisi wengine tunaifuatilia kwa karibu sana. Ripoti kamili ya jinsi mafisadi walivyojipanga nitaiweka hadharani hivi karibuni. Ila nawasikitikia Tanzania Daima kwani lilianza kujijenga vizuri kama gazeti la kupambana na mafisadi lakini linatumika kuwasafisha wachafu hao na kuwapaka matope wapiganaji. Shame on you! Sijui kama Mbowe anajua kinachoendelea kwenye gazeti lake.
 
Hii imeletwa hapa na mmoja ya member anaitwa MABADAWA


 
Lakini Tanzania Daima wameqoute waraka uliosambazwa,hata wememqoute mwenyewe kwamba amesema ni wa kipuuzi uzushi na chuki ,kwa hiyo mwanzisa thread hii analojambo anapo link majibu ya Spika na kushushuliwa kwa Gazeti. Spika siangeona imekuwa vizuri gazeti limeweka peupe waraka unaosambazwa .ni hiari yake kuudharau kama hauna ukweli ndani yake au kuusimamisha kwa kuutolea maelezo haitoshi tu kusema maadui zake wanamuwinda yeye ni kuueleza umma ukweli ni upi jamii inatabia yakuamini roumors apende asipende atakuwa na maadui wengi kwa sababu umekuwa mtindo wa CCM sasa hivi kuuana wenyewe kwa kutumia vyombo vya habari utakuta akina Mkapa akina Sitta na wengine na wengine,hatusomi tena habari za maendeleo ya nchi kila siku ni matatizo tuu hali hii inaudhi sana.
 
tatizo lako ulikaa sana hospitali mpaka ukawa unapitwa na nyakati

hakuna anayempenda sita zaidi ya mkewe na wale wanawake zake

actually anachukiwa mpaka na walinzi wake kwa taarifa yako

mmhh....pasco alikuwa mgonjwa? pole sana mkuu
 
Hivi hayo ni maneno ya Sitta hau ni yako mzee. Naona umeleta hii halafu tayari ushachagua upande. Naona mwenzetu umetumwa!!!!!!

We dare to talk openly here. Kama katumwa au ni maneno yake, kipi cha kushangaza hasa?. Ukweli ni kwamba hapa JF siku hizi kumekuwa na habari ambazo hazina credibility zinashusha hadhi yetu ya kuanalyse issues here. Yaani kama udaku udaku vile!. Kama Sitta ni fisadi tuwekeeni documents za wizi kama tuvyoona za EPA, Kagoda n.k. Sio Blah blah blah!
 
Too easy to predict hata kama kunaukweli wake lakini inaonekana ni political game inayochezwa kwa ujinga,sasa wangekuwa na akili wangeiendeleza hii game mpaka october 2010 ,lakini watakazana wiki hii halafu wataishia,some people they cant think,hakuna ajira huko na sisis tukachune hayo mapesa ya kuvictimise watu
 
Wewe ndiye uliyetumwa! Ninao ushahidi wa kutumiwa kwa waandishi wa habari, na hasa wahariri wa hayo magazeti yaliyotajwa kuandika habari za kuwachafua watu wengine. Ukibisha naweka mambo hadharani!


MzeePunch,

Itakuwa ni vema kam kweli utatuwekea ushahidi hadharani badala ya kutwambia waandishi fulani na fulani wanatumiwa na mafisadi kumchafua Sitta wakati hata yeye mwenyewe ni fisadi!!!
 
ngoja niende kula kwanza halafu nirudi nianze upya kusoma.

mwili unaweweseka hapa nilipo.
 
kama ameweza kuwapandishia wabunge mshahara mpaka milioni 12 kwa mwezi kwanini asirudi.?

afrika ya mashariki hakuna mbunge anayelipwa pesa mingi kama nchini..

Mie nilishachoka na uongozi wa Tanzania wa sasa..
 

Mkuu hivyo vivumishi mi mbona sijavisikia SS akivitamka au ndiyo mambo ya spin hayo.

Nilichosikia mimi ni
... wanasaidia kupunguza umasikini urambo, kwa sababu wala hawatashinda, wananchi wa Urambo wanajua ninachofanya kwa hiyo waendelee kupeleka....
lakini tutashinda uchaguzi na mungu akiniweka hai ntaendelea kuwa spika kwa kipindi kijacho...

source: MICHUZI
 
Hiyo ndiyo safari ya mwisho inakaribia kwa Bwana Samweli Sitta.Akumbuke kabisa kuwa Mungu si Athmani,kilio cha mkewe na waume za wabunge anaowagida ukiachilia mbali ufujaji mkubwa wa fedha za watanzania.Mungu sasa kasema basi na iwe hivyo!!!!
 
Ila kumbukeni mafisadi wana mbinu lukuki za kuwazima maadui zao!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Kuna topic tayari inazungumzia ufisadi wa Sitta ambayo ilitetwa na GT. Pitia huko ndiyo utajua. Ufisadi siyo EPA, Richmond na Kagoda tu. Kama Spika anatumia UDS 8000 kwa mwezi kulipia nyumba, thamani za ndani Tshs 250 million then nafikiri utajaza mwenyewe.......!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi anatumia viagra au kuna mizizi ya kinyamwezi anaweza kweli kuwa nao wanawake kumi ,atupe hizo skills basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…