Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

ila mimi ningekua Lowassa, afta quitting u-PM ningejivua na ubunge, ili nikirudi ni full spd...
 
Homa inapanda, homa inashuka...


Mheshimiwa Six ana kumbukumbu za 1995 mambo yalivyokuwa Urambo anajua kilichompeleka marikiti hadi ajakuokolewa na kina RA 2005

tumpe pole tuu na aache woga ............
 


Sasa vitisho viko wapi hapo? Mimi naona Sitta ameonyesha jinsi anavyojiamini na asivyotishika na mafisadi na vibaraka wao. Watanzania wameshajua janja ya mafisadi ndio maana wanatapatapa na kuwageuzia kibao baadhi ya wapiganaji. Janja yenu imeshagundulika!
 
Zyansiku nsoga du, ungeweka maneno ya spika mwenye tena onesha kwa alama za nukuu ili tuchambue wenyewe badala ya kumuwekea maneno mzee wa watu.
 
Hivi alichofanya SS ni nini kwani mbona sikioni, kama ni ubabe umeonekana bungeni alivyomfukuza Bw. Mapesa, kama ni wizi hapa JF waliweka kuwa anakaa nyumba ya milioni 10 wakati kuna wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, then mnatetea nini?

Labda walichokosea walita habari ni kuifanya kuwa ya kidaku sana kuliko ilivyokuwa inatakiwa. Sioni mkono wa RA wala EL hapa anaogopa kivuli chake mwenyewe
 
Kusema kweli spika 6 anapendwa na wengi wa watumishi wa bunge, kwani wakati akitamka hayo, nikiwa humu mjengoni, watumishi walishangilia aliposema na nitakuwa mimi spika tena wa bunge lijalo.
Kachemsha ile mbaya!
Sio ulafi wa madaraka peke yake humfanya kiongozi kung'ang'ania kiti, bali hata wenye mikono michafu hufanya hivyo.

Nilidhani ni mtu asiyeogopa; huu woga wake unazua maswali, na bila shaka atafia CCM. Kwenye chati yangu ameshuka daraja.
 


Wapi alipotishia bana?
 
Wahenga walisema kizuri chajiuza kibaya chajitembea.langu jicho tu !!!!!!!
 
wadau kuna waraka ameandikiwa spika na katibu wake
kutoka kwa wafanyazi wa bunge.
tafadhali mwanajamii aliyenao naomba atudondoshee
tuuperuuzi.



nikipata nauli nitaufuata hukohuko
 
Hapana Tanzania Daima ni Gazeti huru sana sasa Sitta amezoea magazeti ya ndio mzee sasa Kibanda ni Kiboko yao
 
Gazeti la TZ Daima mbona linaandika bila upendeleo kwenye ufisadi? na nilidhani ndo linaloongoza!!!! Kuhusu Spika hao ni wabaya wake wanataka kumwangamiza Spika wetu hana Mawaa wamwache achape mzigo kwanza kesho anakazi ngumu wasimwogopeshe, WASHINDWE tunamuombea afya njema
 
unahusu nini? waraka gani maana tuna nyaraka kibao hapa!

au unasema juu ya hili kuwa anapanga njama za kuchoma ofis za bunge ili kupoteza ushahid flani?
 
Hivi hayo ni maneno ya Sitta hau ni yako mzee. Naona umeleta hii halafu tayari ushachagua upande. Naona mwenzetu umetumwa!!!!!!

Wewe ndiye uliyetumwa! Ninao ushahidi wa kutumiwa kwa waandishi wa habari, na hasa wahariri wa hayo magazeti yaliyotajwa kuandika habari za kuwachafua watu wengine. Ukibisha naweka mambo hadharani!
 
Na ndio maana jamaa yupo very defence kwa ajili ya hoja zake lakini madai haya ni makubwa sana anatakiwa kuweka wazi tarakimu zake mapema na kusema ni vipi ametumia pesa za walipa Kodi Tanzania
 

Yaani huyu mzee kiboko anaishi kwenye nyumba inayocost walipa kodi malioni kwa mwezi

Anafoji risti za dawa ili alipwe dola elfu 2 kila anapochukua dawa pharmacy

Anatumia vyombo vya umma kufanya ufuska

alilalamika apewe escort kuliko ya Sheni na kapewa

Sasa anataka apewe ulinzi zaidi baada ya hizi tuhuma za kutaka kuchoma moto ofisi yake

inbod huyu mzee akamwone JF doctor
 
Kusema kweli spika 6 anapendwa na wengi wa watumishi wa bunge, kwani wakati akitamka hayo, nikiwa humu mjengoni, watumishi walishangilia aliposema na nitakuwa mimi spika tena wa bunge lijalo.

tatizo lako ulikaa sana hospitali mpaka ukawa unapitwa na nyakati

hakuna anayempenda sita zaidi ya mkewe na wale wanawake zake

actually anachukiwa mpaka na walinzi wake kwa taarifa yako
 
Akane basi aseme anakaa hse ya bei gani, atoe receipt ili kukata vidomo vya watu, kukana bila vigezo haina maana. Anatia aibu asiposema ukweli wa mambo then tutajua kuwa anao uchungu na nchi, si unasema tu nashutumiwa kwa hili na hili nahili but mimi sio hivyo nipo hivi na hivi na hivi, simple and clear na tanzania daima hawatauza tena news hiyo kwani watakuwa wameumbuliwa, au vipi wan jf?
 
Nadhani Mr. Zyansiku hii ameiandika kiushabiki saana, asidhani kuwa spika ameshuka kwa hao walioandika upuuzi huu, hata kidogo, SS huwezi kamwe kumlinganisha na Msekwa huyu SS ni historia kwenye mabunge yote ya hapa TZ.
 
Nyie mnaosema ni lazima JK awe rais 2010 hamjui kuwa kuna uchaguzi ndani ya CCM na Wagombea kupitia vyama vingine watakuja kusimama naye kukiwania kiti hicho? Akisema SS nongwa lakini kwa JK poa.

Anyway nadhani kwa kuwa sita anagusa maslahi yako binafsi ndo maana kauli yake pia imekugusa.

Songa mbele askari wangu SS hadi kwenye uspika wa bunge lijalo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…