Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

WANABODI,
Kwa kuwa ccm wamemchagua Magufuli kuwakilisha CCM kuwania uraisi, kwa mbali naona MTU anayeweza kuwaunganisha UKAWA kiurahisi ni TUNDU LISU. REASONS, loading...

UKAWA chonde chonde tuleteeni Lissu.
 
1: Bado ana nguvu za kutosha bila kuchoka kuzunguka nchi nzima.

2: Hana kashfa hata moja.

3: Ni sura mpya ktk nafasi hii. A great surprise kwaagamba.

4: Loading... Ongezea
 
Tundu Lissu asigombee urais maana tutakosa ujasili wenye weledi bungeni. Mi nahisi mbowe ndo saizi yake japo mbowe ni bonge la mjanja hatakagi kupoteza ubunge na uongozi wa upinzani bungeni (KUB)
 
Hata mkiwaweka pamoja Slaa, Lisu na Lipumba vs Magufuli! Bado John atawaacha mbali sana!!
Msipokuwa makini hata baadhi ya viti vya ubunge mnavyo shikilia kwa sasa mtavipoteza!
Ngoja Magufuli aanze kunadiwa nchi nzima ndio mtaelewa namaanisha nn!!!
Wapi barabara, wapi madaraja!!!
 
Inabidi Slaa arudi bungeni. Au akikosa aje kama special seat..............hatuna jinsi. Walau tupunguze maamuzi ya ndiyoooooooooooooooooooo bungeni

Wewe kama una mawazo mgando namna hii mkulima wa kijijini atakuwaje? Kweli unasema Magufuli kawachanganya watu? Watu gani? Badala ya kuelimisha watu kuwa CCM haibadiliki na wewe unajifanya kuchanganyikiwa?
 
Ukawa haieleweki. Mtakumbuka Cuf wao walimteua PRf Lipumba kama mgombea wao kwenye wahombea wa ukawa. Mpaka dakika hii Chadema , Nccr na NLd hawajatoa nani awe mgombea wao kwenye ukawa. Pia hakuna mgombea mwengine aliejitokeza kutaka ridhaa ya ukawa zaidi ya LIpumba.
Sasa hizi taratibu mbona hazieleki ? Hapa kuna tatizo ...hakuna utaratibu unaojulikana ulowekwa kabla na wamefanya kosa kubwa la timing kiongoja ccm imeteka hisia za wapiga kura wao bado wana lumbana na haijulikani utaratibu uko vipi.
Bora kila chama kije kivyake tujue ni chama gani ni chama chenye nguvu. Hivi sasa kila chama kitajidai sisi ndio wenyewe
 
Jamani eeeee mie nipo mkoani huku, kitendo cha Magufuli kusimama kwa tiketi ya CCM, kimewachanganya wananchi na kuwavuruga sana. CCM wamekuwa wajanja. Kwa lugha nyingine wamewashangaza wananchi. Kwa hiyo na sisi UKAWA inabidi tuwashangaze vilevile.

Awekwe mtu atakayetupatia fursa ya kuwa na wabunge wengi na madiwani wengi kwa kukomaa na kura za wananchi.

Wahaya wanamsemo mmoja unasema hivi " Mukazi wawe kakushobeza, naiwe oshobeza nyokozara" maana yake ni kuwa "Mke wako akikushangaza au kukuduwaza, nawewe mduwaze au mshangaze Mama mkwe wako" Yaani wife wako akikufanyia kitu cha ajabu na wewe mfanyie maajabu zaidi mama mkwe wako.

Sasa CCM, wametuduwaza(Ukweli mchungu) na sisi inabidi tuwaduwaze. Njia pekee iliyobaki ni kuwawekea TUNDU LISSU. Wapo mtakaoniponda lakini ukweli ndo huo. UKAWA hatupati Urais mwaka huu. Si kwamba nimekata tamaa bali ndo ukweli maana karata hazijakaa vizuri.

Tundu Lissu waambie wenzio Ukweli ndo huo.

Ili tuvuruge njia ni hiyo tu. Nimeandika mwenyewe sijaibiwa Password

Ta Muganyizi.
ningekuwa ndani ya ukawa ningeshauri haya

1.nawashauri ukawa wabadili mbinu wamsimamishe Tundu Lisu kugombea uraisi ili kudraw public attension ya usiniulize kwanini si dr. slaa

2.ufanyike mkutano mkuu wa vyama vyote vya ukawa na utangazwe nchi nzima na vuombo vote vya habari siku ya kumtangaza mgombea

3. itengenzwe ilani ya ukawa, na sera za ukawa zipitishwe siku hiyo

4. ilani ya ukawa ije na ajenda chache sana kama kumi na tano.tu ajena kuu ikiwa ni katba mpya, na muundo wa serikali tatu refer rasimu ya warioba

5. ili kuhakikisha ukawa ina kuwa na wabunge wengi na inakuwa na wigo mpaNA WA KUCHAGUA MAWAZIRI dr. slaa, lipumba mbatia na makaidi wagombee ubunge

6.hakikisha ukawa inasimamisha mgombea kila jimbo, na inaweka mawakala wa ubunge na uraisi, na baada ya matokeo fomu zote zipigwe picha au scan zitumwe kwenye server makao makuu kwa majumuisho
7. mgombea wa uraisi awe na kazi moja tu. kuinadi ilani yenye mambo muhimu kwa ufasaha na umakini ili hata mtu wa kawaida aweze kuelewa

8.wagombea ubunge na udiwani wao kazi yao iwe ni kufafanua sera kulingana na geographical location,
na kuna haja ya wagombea kupigwa msasa wa kuzijua sera kabla ya kampeni

9.ikiwapendeza ukawa wanaweza kuweka kwenye ilani yao mambo yafuatayo
1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 kurejesha nyumba za serikali
 
Wewe kama una mawazo mgando namna hii mkulima wa kijijini atakuwaje? Kweli unasema Magufuli kawachanganya watu? Watu gani? Badala ya kuelimisha watu kuwa CCM haibadiliki na wewe unajifanya kuchanganyikiwa?

Ndugu mie najielewa...tuna deal na wengi wasiojua. Nimekwambia wasiojua wanaona ccm wamefanya sahihi....nimtoa mbinu mbadala.

Kujidanganya na kujipa hope za uongo sio sahihi.................sijasema nimehamia ccm na uzi huu ni lobbying n unajua target ni nani usisome tu haraka haraka..............haya mtaje wako atakayeishinda CCM.

Ujinga ni pale kunywa sumu na kujipa moyo kuwa hautakufa wakati ukweli unaujua
 
ningekuwa ndani ya ukawa ningeshauri haya

1.nawashauri ukawa wabadili mbinu wamsimamishe Tundu Lisu kugombea uraisi ili kudraw public attension ya usiniulize kwanini si dr. slaa

2.ufanyike mkutano mkuu wa vyama vyote vya ukawa na utangazwe nchi nzima na vuombo vote vya habari siku ya kumtangaza mgombea

3. itengenzwe ilani ya ukawa, na sera za ukawa zipitishwe siku hiyo

4. ilani ya ukawa ije na ajenda chache sana kama kumi na tano.tu ajena kuu ikiwa ni katba mpya, na muundo wa serikali tatu refer rasimu ya warioba

5. ili kuhakikisha ukawa ina kuwa na wabunge wengi na inakuwa na wigo mpaNA WA KUCHAGUA MAWAZIRI dr. slaa, lipumba mbatia na makaidi wagombee ubunge

6.hakikisha ukawa inasimamisha mgombea kila jimbo, na inaweka mawakala wa ubunge na uraisi, na baada ya matokeo fomu zote zipigwe picha au scan zitumwe kwenye server makao makuu kwa majumuisho
7. mgombea wa uraisi awe na kazi moja tu. kuinadi ilani yenye mambo muhimu kwa ufasaha na umakini ili hata mtu wa kawaida aweze kuelewa

8.wagombea ubunge na udiwani wao kazi yao iwe ni kufafanua sera kulingana na geographical location,
na kuna haja ya wagombea kupigwa msasa wa kuzijua sera kabla ya kampeni

9.ikiwapendeza ukawa wanaweza kuweka kwenye ilani yao mambo yafuatayo
1. kufufua mchakato wa katiba mpya -rasimu ya warioba

2.kuimarisha muungano wa jamuhuri ya tanzania kwa muundo wa serikali tatu

3. kubana matumizi ya serikali -kusitisha ununzi wa magari na maposho yasiyo na tija

5. kufuta misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa pamoja na kufuta na kupunguza viwango vya kodi
kwenye bidhaa vifaa ya ujenzi kilimo viwanda na vyakula

6.kudhibiti matumizi ya dola na usafirishaji dola nje, pamoja na kupunguza inflation

7. kushusha kodi kwenye bidhaa za ujenzi

8. kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu

9. kurudisha miswada yote iliyopitishwa kwa hati ya dharula ili ipite katika utaratibu wa kawaida ili ijadiliwe na bunge ipitishwe

10. kutengua mikataba17(MOU) ya kinyonyaji aliyoisani jk na wachina

11 kusitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo ili kuimarisha bandari ya dar tanga na mtrwara

13.kupitia upya mikataba ya madini,mafuta na gesi na nakuifuta ilie isiyo na maslahi kwa nchi

14 kurejesha nyumba za serikali

Asante. Tukisema haya tunaambiwa tumekata tamaa.
 
Magufuli kitu gani wewe,acha uoga. Kama magufuli angegombea ubunge asingepita abadani maana jimboni kwake ni miyeyusho tupu hakubaliki

Maneno haya ni sawa na nayekwatuliwa akawekewa ICE maumivu yakapotea akadhani amepona. Usijidanganye. Tuna kazi ngumu mbele yetu.
 
Back
Top Bottom