Ni tabia gani ambayo hutaki mwanao aje airithi?

1. Puri
2. Meladative Daydreaming
3. Car Maniac
4. Showoff
5. Overspending
6. Umalaya
7. Elements za u-serial killer

Yaani naogopa ata kutafuta mtoto.
 
Upigaji nyeto,kupiga chabo,halafu kudharau mademu I see pls my kids msije niigiliza hizi tabia sio nzuri hata kidogo 🤔
 
My son please nakuomba uache umalaya, Puchu na gambe.

Najua utapita humu muda si mrefu,

It's me your lovely father,

Shadow7
 
kubeti na umalaya my son pliz pliz pliz nakuomba chonde tafadhali usinicopy nakuomba baba angu
Watoto huona fahari kwa wazazi wao, kwa kazi wanazofanya, biashara na tabia.
Kama hujaacha mapema udhaifu wako, basi mwanao akipata ufahamu, atajua hiyo ndiyo njia au jinsi maisha yanavyotakiwa yawe, mbona baba amefanya? Hivyo achanana hayo mambo.
 
Back
Top Bottom