mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,842
- 2,391
Kupiga punyeto
Hakikisha umeacha kabla ya kuleta mtoto.1. Puri
2. Meladative Daydreaming
3. Car Maniac
4. Showoff
5. Overspending
6. Umalaya
7. Elements za u-serial killer
Yaani naogopa ata kutafuta mtoto.
Mie Kama wewe,sitaki awe mtu anayefanya mambo yake pekee,ajichanganyi na wengine,sitaki awe mpole,nataka awe muongeaji,anayeweza kuanzisha maongezi na yeyote popote.Binafsi mwanangu sitaki aje arithi tabia yangu ya upole uliopitiliza kwani itakuja kumuathiri uko mbeleni.
Kuna wazazi wengine ni wachoyo ,wakali, wambeya,wakimya nk
Sasa mwanao hutaki arithi tabia gani uliyo nayo???
Binafsi sipendi arithi tabia zangu mbaya na chukizo kwa Wanafiki wengi za kuwa Mkweli sana, Muwazi mno, Kujiamini, Kutokuogopa, Kutojipendekeza kwa Watu, kuwa na Tamaa, kuwa na Akili za Kifalsafa na kupenda Kuwachokoza na Kuwachokonoa zaidi Wapumbavu ( Hayawani ) katika Jamii hadi Mitandaoni.Binafsi mwanangu sitaki aje arithi tabia yangu ya upole uliopitiliza kwani itakuja kumuathiri uko mbeleni.
Kuna wazazi wengine ni wachoyo ,wakali, wambeya,wakimya nk
Sasa mwanao hutaki arithi tabia gani uliyo nayo???