Ni wazo nzuri sana la software ya namna hii, pia nasubiri nisklize majibu ya wadau humu, ila nimekua nataka nitengeze similar system kwa kutumia Google drive and Google doc maana zenyewe zina API, unatengeneza mfumo wako na kuunga humo, inarahisisha sana kwenye office collaboration.
Kuna sehemu nimefanya integration na imekaa poa sana ofisini wameichangamkia balaa, ni suala la kutafiti tu namna ya kuboresha zaidi.