Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Mijitu inachati humu na kujichekesha badala ya kumwaga hizo siri kama uzi unavyojieleza.

Wekeni siri hizo hata kwa mafumbo ndugu zenu wakisoma hawatojua code zenu, muhimu id hazifahamiki.
 
Ok. (Kikubwa fake ID ipo.... So hakuna shida)

Mimi huwa ninadirect communication na viumbe wa kiroho, nilizaliwa hvyo toka nikiwa mdogo nilikuwa natokewa na viumbe tofaut tofaut ndotoni baadae ikawa live (japo skuhz hiyo hari imepungua)
Kuona watu waliokufa ndo mahala pake hapa.... Ikitokea Kuna kitu kinanitatiza halafu ambacho marehem Baba yangu alikuwa mtaalam nacho,,,, namuita kupitia fikra then nikilala anakuja kunisolvia then maisha yanaendelea!!!!


Hii nnayotoboa hapa it's my top secret 🤝........ Kuwaona mitume wa mwenyez Mungu ndotoni na siku nilipata maono, nikaona malaika halafu mwisho nikasikia sauti ya mwenyez Mungu


Najua mpaka hapa nishafikia level ya kuitwa Chizi😂😂...... (Ila simlazimishi mtu aniamini🚶🚶🚶)

Note: marehem baba yangu alikuwa na uwezo mkubwa San kiroho ..... Sometimes kuongea na viumbe wasioonekana muda wowote anaojisikia,,,,,, akienda baharini anaita chochot kinakuja (hahaha endelea kubisha🤝)


Vya kurithi vinanguvu.... Mimi nimekuwa nilivyo sababu ya bloodline 🤝🤝
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom