Kifo ni ile hali ya viungo muhimu vya mwili (vital organs to be clear) kuacha kufanya kazi inavyotakiwa hivyo kupelekea dysfunctions in human body.
Haijarishi ni vitu gani vimesababisha hizo vital organs ziache kufanya kazi iwe naturally au environmentally.
Dysfunctions ambazo zitapelekea hizo vital organs kuacha kufanya kazi haijarishi ilichukua muda gani mpaka kufikia hatua ya kuacha kufanya kazi.
Hivyo hapo tunasema kufa.
Usingizi ni ile hali naturally ya mwili and conscious mind kupumzika baada ya kuwa active kwa muda mrefu.
Unalala ili kugain energy na kuweka mwili sawa ili kesho ukapambane tena.
Kuhusu kutotambua kama umelala na unaota.
Ni sababu sehemu ya mind yako ambayo inajihusisha na utambuzi na ufahamu inakuwa imelala
Conscious mind inakuwa off.
ambayo technically ni wewe.
Which means sehemu ya mind ambayo hauko aware nayo na hauwezi kuincontrol inatake part kubwa.
Subconscious mind.
Hivyo kila unachoota na kila kinachoendelea kinakuwa nje ya uwezo wako.
So hata unapoota yule kwenye ndoto sio wewe bali ni subconscious mind inakuwa kazini na wewe unakuwa observer tu bila kujua.
Ndio maana ukiwa ndotoni kila kitu huonekana kawaida mpaka pale ukiamka then unatambua something was actually strange.
So conclusion kutokana na maelezo yangu ya juu ni kwamba kifo hakina mahusiano yoyote na usingizi.
Ni short simple explanation lakini inaweza kujibu baadhi ya maswali.
Ukitaka kujua zaidi mambo ya usingizi, ndoto na kifo nenda katafute movie inaitwa inception imegusia hayo mambo kwa kiasi chake ipo little complicated dakika 30 za kwanza baada ya hapo you'll catch up to it.