Ni siri gani iliyopo kati ya usingizi na kifo?

Ni siri gani iliyopo kati ya usingizi na kifo?

Usiandikie mate wakati wino upo ebu jaribu siku moja kaa macho kodo wiki nzima usilale alafu uje utusimulie kilichotokea sawaa?
Hakuna anayeweza kufanya hvyo mkuu kukaa macho kodo wiki nzima sasa ni kwanini yaani ni lazima kulala taka usitake
 
Hakuna anajua jua baada ya kufa kinatokea nini, lakini kwa kutumia vitabu vya dini tunaamini ukifa roho inacha mwili na kurudi kwa Muumba,
Kwahiyo nadhani baada ya kufa nafsi/roho itakuwa inajua nini kinaendele
Hivyo basi kifo na usingizi ni vitu viwili tofauti kabisa
Interest..
Sasa kwanini ni lazima kulala mkuu
 
Ukifa maisha yako yanakuwa kama vile ilivyokuwa kabla hujazaliwa(kwa mazingira ya hapa tuite usingizi fofofo), kwa kifupi hutojua chochote kinachoendelea.

Hata watu wakiwa wanakuzika hutosikia wala kuona chochote kwa sababu hautakuwa unaexist katika sayari yoyote. Hautosikia maumivu, hautosikia baridi wala joto. Japo ni vizuri kujipa moyo kuwa utakuwa upo kwa mfumo wa kiroho kama vitabu vya dini vinavyotuaminisha.
 
Sawa lakini kwanini sasa tunalala na kuamka. Kwani hatuwezi kuishi pasina kulala mkuu?
Mbona unaweza pia kuishi bila kulala. Yaani mchana kutwa na usiku wote, uko macho! Jicho nyanya, wewe uko macho tu! Ni uamuzi tu mkuu.
 
Kifo ni usingizi uliopitiliza mkuu.
kifo si sawa na usinginzi - Kifo ni lazima uumie wakati roho inaacha mwili - maumivu yanatofautiana kutokana na maovu ama mema yako uliyoyatenda hapa duniani.

Wengine wakati wa kufa wanakata adi gogo na jicho pima huku wengine wakilala usingizi mnono - unakuta maiti kama inatabasamu vile.

Tendeni mema enyi wanadamu, maisha ya hapa duniani ni mafupi mno - wafanyie wepesi binadamu wenzako ili upate maisha marefu na uhesabiwe HAKI -ewe mwanadamu mwenye jeuri na kiburi.
 
Wakuu pamoj na majibu yote lakini sasa kwanini unapolala hujitambui na wala hutambui hapa kua nimelala?
Wakati uu hai bado?
 
Serial Killa- Snooo Doggy Dogg

Six million ways to die, choose one
It's time to escape, but I don't know where the **** I'm headed
Up or down, right or left, life or death
I see myself in a mist of smoke
Death becomes any nigga that takes me for a joke
We hit a five dollar stick, now we puttin in work
Unaccountable amounts of dirt, death becomes all niggas
Anybody killa, you know what the deal is
Nigga, you know what the real is
I see some mark brand niggas on the corner flaggin me down
Sayin, "Yo Daz, what's up with the Pound?
Is that nigga Snoop alright? Aiyyo what's up with the crew?
Is them niggas in jail, or are them niggas through?"
I said, "If you ain't up on thangs
Snoop Dogg is the name, Dogg Pound's the game"
It's like this they don't understand
It's an everyday thang, to gangbang
Make that twist, don't be a bitch, let these niggas know
What's up witchu I represent the Pound and Death Row
And can't no other motherfucker in L.A. or Long Beach
And Compton and Watts see D-O-G's
Now, you can't come and you can't run, and you can't
See long to the G of the gang
One gun is all that we need, to put you to rest
{Pump pump!} Put two slugs dead in your chest
Now you dead then a motherfucker creepin and sleepin
6 feet deep in, fuckin with the Pound is
Suicide, it's a suicide
(Repeat x4)
The cloud becomes black, and the sky becomes blue
Now you in the midst of the Dogg Pound crew
Ain't no clue, on why the **** we do what we do
Leave you in a state of paranoia, oooh
Don't make a move for your gat so soon cuz
I drops bombs like Platoon (ay nigga)
Walk with me, hold my hand and let me lead you
I'll take you on a journey, and I promise I won't leave you
(I won't leave you) until you get the full comprehension
And when you do, that's when the mission
Or survival, becomes your every thought
Keep your eyes open, cuz you don't wanna be caught
Half steppin with your weapon on safety
Now break yourself motherfucker, 'fore you make me
Take this 211 to another level
I come up with your ends, you go down with the devil
Now roam through the depths of hell
Where the rest your busta ass homeboys dwell
Well
Suicide, it's a suicide
(Repeat x3)
Now tell me, what's my motherfuckin name?
Serial killa! Serial killa! Serial killa!
(Wake up in the morning eat your Lucky Charms cereal)
Deep, deep like the mind of Minolta, now picture this
Let's picnic inside a morgue
Not pic-a-nic baskets, pic-a-nic caskets
And I got the machine, that cracks your fuckin chest plates
Open and release them guts
Then I release def cuts
Brutal, jagged edged, totally ruffneck
Now everybody scream nuff respect to the X
Nuff respect given
Disrespect and you will not be livin
Word to momma, Emma, drama, dilemma
Outbrain
Nas

First of all this is Nas I'mma Braveheart veteran
And y'all already know who I'm better than
Yall know the beef in the hood it'll never end
Never hit the club unless I get's my berretta in
The letter N, short for Nasir
More drama than the President with North Korea
Gettin Krunk wit Lil Jon, he da livest in the south
Fvck around and you get wires in your mouth
Cowards I despise and my power keeps on risin
Nikkas try to hate me but they keep recognizin
Who's the next label I'mma bury
CEO's, rappers and A&R's go to the rap cemetary
And ya all got guns but ya scared to use 'em
Six million ways to die, nikka choose one

I'm a Braveheart I'll be right here
Y'all talk sh!t but I smell fear, moth3rfvck3r!

 
Kifo ni ile hali ya viungo muhimu vya mwili (vital organs to be clear) kuacha kufanya kazi inavyotakiwa hivyo kupelekea dysfunctions in human body.

Haijarishi ni vitu gani vimesababisha hizo vital organs ziache kufanya kazi iwe naturally au environmentally.
Dysfunctions ambazo zitapelekea hizo vital organs kuacha kufanya kazi haijarishi ilichukua muda gani mpaka kufikia hatua ya kuacha kufanya kazi.
Hivyo hapo tunasema kufa.

Usingizi ni ile hali naturally ya mwili and conscious mind kupumzika baada ya kuwa active kwa muda mrefu.
Unalala ili kugain energy na kuweka mwili sawa ili kesho ukapambane tena.

Kuhusu kutotambua kama umelala na unaota.
Ni sababu sehemu ya mind yako ambayo inajihusisha na utambuzi na ufahamu inakuwa imelala
Conscious mind inakuwa off.
ambayo technically ni wewe.

Which means sehemu ya mind ambayo hauko aware nayo na hauwezi kuincontrol inatake part kubwa.
Subconscious mind.
Hivyo kila unachoota na kila kinachoendelea kinakuwa nje ya uwezo wako.
So hata unapoota yule kwenye ndoto sio wewe bali ni subconscious mind inakuwa kazini na wewe unakuwa observer tu bila kujua.

Ndio maana ukiwa ndotoni kila kitu huonekana kawaida mpaka pale ukiamka then unatambua something was actually strange.

So conclusion kutokana na maelezo yangu ya juu ni kwamba kifo hakina mahusiano yoyote na usingizi.

Ni short simple explanation lakini inaweza kujibu baadhi ya maswali.

Ukitaka kujua zaidi mambo ya usingizi, ndoto na kifo nenda katafute movie inaitwa inception imegusia hayo mambo kwa kiasi chake ipo little complicated dakika 30 za kwanza baada ya hapo you'll catch up to it.
 
Back
Top Bottom