sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,956
Usingizi ni nusu Ya kifoWakuu najaribu tu kuwaza kama heading inavyojieleza, tunalala na tunaamka viumbe wote hai lazima walale tena usingizi wa kutojitambua na pasipo kujua chochote kinachoendelea juu yao.
Kuna mahusiano yoyote juu ya usingizi na kifo?