Ni simu gani ya button yenye sifa hizi

-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c bila tatizo.

Niambieni tu ni simu ya aina gani yenye sifa hizo, sitaki mtu wa kuniuzia, Nataka siku nikienda dukani nijue wapi pa kuanzia.
Siku za nyuma nilikuwa na nokia asha 201, na ilinifaa sana.
Ila sasa nataka kubadili mazingira, nataka nzuri zaidi...
cc; CHIEF MKWAWA
Hiyo picha kwenye avat yak kam ni wewe basi Upo sexy hatary kimuonekano. Sorry nipo nje ya mada
 
Mimi natumia hii simu achana nayo utajutia hela zako
1. Msg zinazingua mara zisije mara zinachelewa
2. Os nzito kama android za zamani
3. Wanaforce kutumia full browser badala ya mobile optimized browser hasa zile mini kama vile opera mini na uc mini.
4. Apps chache last time store ilikuwa na app chini ya 100 tu hata sijaangalia sasa hivi.
5. Hizo apps chache nyingi ni buggy na hazipo optimized.

Bila kusahau google ni sugar daddy wa kai os sasa hivi.
mzee hii kitu na mimi ninayo, nashangaa 3310 wana operamin ila hawa hawajaweka na mpk kwenye Kai store haipo, huwez uka control music in background, huwez ukafanya a lot of personalizations, kiufupi HMD-GLOBAL wamezingua kwennye hardware mfn kutoweka sides volume battans, poor camera quality, na kai nao wakaharibu zaid kwenye softiware, ila kusema kweli sijakutana na tatzo lolote la kiufundi, wamesema soon watatoka kwenye v13.00.17.01 kwenda kwenye v14.00.17.04 ambayo ita fix baadha ya mambo, itasuport whatsapp na kuboresha baadh ya mambo

Kitu ambacho nimekipenda ni,
good call and sound quality,
soft keypad,
sreen,
fast internet,
 
Ukipata Nokia XpressMusic 5310 (2007) itakufaa sana iko poa kutokana na mahitaji yako niliitumia mwaka 2014 ni simu nzuri sana japokuwa upatikanaji wake kwa TZ ni mgumu kutokana na miaka mingi imepiata tangia imeingia sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c bila tatizo.

Niambieni tu ni simu ya aina gani yenye sifa hizo, sitaki mtu wa kuniuzia, Nataka siku nikienda dukani nijue wapi pa kuanzia.
Siku za nyuma nilikuwa na nokia asha 201, na ilinifaa sana.
Ila sasa nataka kubadili mazingira, nataka nzuri zaidi...
cc; CHIEF MKWAWA
ZxvDcx Bq ks u2j,brn,c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3310 4g inatumia modified version ya android, pegine ikawa nzuri ila sijawahi itumia na nafikiri ni exclusive kwa china tu.

Na kuna hii simu inaitwa infobar xv ni kama limited edition inarun android limited edition, ni kali balaa kimuonekano, icheki kama unaweza kuileta.

ap_resize.php

Kama bei ni reasonable naweza kuwa mteja.
Mkuu, nimeiangalia hiyo simu Google huko, specification zake kama sija zielewa vizuri, ikija hapa bongo haiwezi kusumbua sumbua? Mfano mtandao n.k
 
-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c bila tatizo.

Niambieni tu ni simu ya aina gani yenye sifa hizo, sitaki mtu wa kuniuzia, Nataka siku nikienda dukani nijue wapi pa kuanzia.
Siku za nyuma nilikuwa na nokia asha 201, na ilinifaa sana.
Ila sasa nataka kubadili mazingira, nataka nzuri zaidi...
cc; CHIEF MKWAWA
Nikia 8110 maarufu kwa jina la nokia ndizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ningekuachia haya mawe ila blv me bei hutaweza, hio moja ukiiangalia hapo juu inasoma 4G LTE
20190330_164623.jpg
20190401_172551.jpg
 
nazungumzia infobar, ikija hapa kwetu haiwezi kusumbua sumbua?
Band zake hizi hapa

2G Network : GSM EDGE 850, 900, 1800, 1900 MHz
3G Network : UMTS HSDPA UMTS 850, 1900, 2100 MHz
4G Network : FDD-LTE 700, 800, 850, 1800, 2100 (Band 1, 3, 17, 26

Haitasumbua.
 
Hiyo cable tuongee biashara
mkuu hii nimeinunua k.koo, wee nenda withn this week, maduka meng wanazo, nikawauliza wamezipata wapi maana zilipotea? nikaambiwa ndio zilizokua zimebakia kwenye stock, na zimeisha kwaio ni kuwahi, nenda ukikosa niambie ninazo tatu.

NA mimi naomba unisaidie kupata earphones original za nokia, k.koo nimetafta sana naambulia fake, japo nataka nikajarb pale kwa mhind kuelekea msimbazi, , nazihtaj sana.
nokia%20headset%202.5-600x600.jpg
 
mkuu hii nimeinunua k.koo, wee nenda withn this week, maduka meng wanazo, nikawauliza wamezipata wapi maana zilipotea? nikaambiwa ndio zilizokua zimebakia kwenye stock, na zimeisha kwaio ni kuwahi, nenda ukikosa niambie ninazo tatu.

NA mimi naomba unisaidie kupata earphones original za nokia, k.koo nimetafta sana naambulia fake, japo nataka nikajarb pale kwa mhind kuelekea msimbazi, , nazihtaj sana.View attachment 1064162
Kama ni za kkoo asante, nilienda na mimi ni za kichina copy.
 
Back
Top Bottom