Ni simu gani ya button yenye sifa hizi

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
860
1,106
-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c bila tatizo.

Niambieni tu ni simu ya aina gani yenye sifa hizo, sitaki mtu wa kuniuzia, Nataka siku nikienda dukani nijue wapi pa kuanzia.
Siku za nyuma nilikuwa na nokia asha 201, na ilinifaa sana.
Ila sasa nataka kubadili mazingira, nataka nzuri zaidi...
cc; CHIEF MKWAWA
 
Ati tamu😆 loh! kumbe vijana wa siku hizi tuna mambo mpaka kamera ni tamu.!!
 
Hivi ya button kumbe
Kuna hizi nokia za button zina hayo unayoyahitaji hapi
Yes, nahitaji ya button.
mwanzo nilikuwa na nokia asha 200, ila nataka nibadali mazingira
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom