Ni simu gani ya button yenye sifa hizi

Simu za symbian zinafaa sema utatakiwa kui tweak kidogo na sidhani kama upo comfortable kufanya hivyo. Kwa kutumia custom rom kama delight ndio simu yako itakuwa usable.

Apps nyingi za symbian certificate zake zimeisha muda hivyo simu itahitaji iwe na custom certificate.

Ila kwa matumizi ya kawaida kama youtube, games za hapa na pale, camera etc zinafaa.

Kama unataka camera simu kama n86 inafaa
Ina xenon flash, 8mp camera etc kifupi utazipita simu nyingi za laki 5 kushuka kwa camera.

Kuzipata ndio shughuli ila ebay mara nyingi zipo chini ya laki.
09_22_12_Nokia-N860.jpg
Asante ndugu, Mimi shida yangu hasa ni Youtube na Kamera.
 
Ukienda dukani uliza sifa hizi
Kamera 13MP kwenda juu
Network 4G LTE kasi ya kutream na kudownload
Ram 2GB kuendelea
Storage 16GB angalau hutojuta.
Hakikisha unaenda na sifa hizi dukani na unauliza kimoja baada ya kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natumia hii simu achana nayo utajutia hela zako
1. Msg zinazingua mara zisije mara zinachelewa
2. Os nzito kama android za zamani
3. Wanaforce kutumia full browser badala ya mobile optimized browser hasa zile mini kama vile opera mini na uc mini.
4. Apps chache last time store ilikuwa na app chini ya 100 tu hata sijaangalia sasa hivi.
5. Hizo apps chache nyingi ni buggy na hazipo optimized.

Bila kusahau google ni sugar daddy wa kai os sasa hivi.
Okay, nimekupata Chief-Mkwawa vipi kuhusu Nokia 3310 4G (2018)?
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Kumbe afadhali ya E6?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, nimekupata Chief-Mkwawa vipi kuhusu Nokia 3310 4G (2018)?
3310 4g inatumia modified version ya android, pegine ikawa nzuri ila sijawahi itumia na nafikiri ni exclusive kwa china tu.

Na kuna hii simu inaitwa infobar xv ni kama limited edition inarun android limited edition, ni kali balaa kimuonekano, icheki kama unaweza kuileta.

ap_resize.php

Kama bei ni reasonable naweza kuwa mteja.
 
Naomba kujua bei ya hizi simu mpaka inanifikia;-
1. Nokia N86, 2. Nokia E6, 3. Blackberry key one, 4. Blackberry classic. Ni mpenzi sana wa simu za button kama mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpaka kukufikia hayo ni mambo mengine, angalia aliexpress ama ebay, kila mtu ana shipping rate zake hawafanani.

Na hizo blackberry huna haja ya kununua online zimejaa kibao mitaani tena bei rahisi tu hasa hio classic.
 
3310 4g inatumia modified version ya android, pegine ikawa nzuri ila sijawahi itumia na nafikiri ni exclusive kwa china tu.

Na kuna hii simu inaitwa infobar xv ni kama limited edition inarun android limited edition, ni kali balaa kimuonekano, icheki kama unaweza kuileta.

ap_resize.php

Kama bei ni reasonable naweza kuwa mteja.

Nime check infobar bei yake si ya kitoto, ni brand ya Japan.
 
3310 4g inatumia modified version ya android, pegine ikawa nzuri ila sijawahi itumia na nafikiri ni exclusive kwa china tu.

Na kuna hii simu inaitwa infobar xv ni kama limited edition inarun android limited edition, ni kali balaa kimuonekano, icheki kama unaweza kuileta.

ap_resize.php

Kama bei ni reasonable naweza kuwa mteja.
Mkuu Chief-Mkwawa ebu check hii Xiaomi ZMI Z1 inaweza ikawa nzuri? Maana sijui inatumia OS gani, ila unaweza kuitumia kama WiFi Hotspot, Power bank, pia ina infrared remote
IMG-20190206-WA0008.jpeg
IMG-20190206-WA0009.jpeg
IMG-20190206-WA0012.jpeg
IMG-20190206-WA0013.jpeg
IMG-20190206-WA0014.jpeg
 
-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c bila tatizo.

Niambieni tu ni simu ya aina gani yenye sifa hizo, sitaki mtu wa kuniuzia, Nataka siku nikienda dukani nijue wapi pa kuanzia.
Siku za nyuma nilikuwa na nokia asha 201, na ilinifaa sana.
Ila sasa nataka kubadili mazingira, nataka nzuri zaidi...
cc; CHIEF MKWAWA
asha 303
ila sidhani kama zipo saiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeicheki fasta fasta naona powerbank yake inatoa umeme 0.49A ambayo ni ndogo sana na pia naona huwezi kusideload apps, ngoja nikipata muda nitaiangalia vizuri.
Mkuu,... Nokia 106 na Nokia 216 hapa TZ zinapatikana kwa bei gani?
nokia_106-product_page-buy-desktop.jpeg
nokia_216-details-DSIM.png
 
Mtumiaji ni kipofu au wa hizo simu za miaka 10 iliyopita.
Tafuta blackberry ila ndio hivyo kioo kiduchu.
 
Back
Top Bottom