mcmzungu
Member
- Jul 11, 2015
- 48
- 65
Naitwa MC SIMON MZUNGU ni mshereheshaji (MC),mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa injili.Nikiwa mmoja wa members wa jamii forum Nawakaribisha kusikiliza nyimbo yangu 'NI SIKU'featuring Julieth.Nakaribisha maoni mbalimbali ili kuboresha kazi zangu zaidi.Namshukuru Mungu kwa vipaji hivi alivyonipa zaidi Unaweza kunishauri kupitia MC SIMON MZUNGU/facebook.com