Ndio kiongozikWA NINI CIVIL DRAFT? UNAHISI HII NDIO ITAKUTOA KWENYE DIMBWI LA KUKOSA AJIRA?
UNA TALENT GANI WEWE BINAFSI UNAVYOJIONA TANGU UTOTO MPAKA SASANdio kiongozi
Kweny design mkuu maana toka mdogo nilikuw napenda sana kuunda vijumba kupitia mabox,sema ndio hivyo utoto mwingi tukakimbilia masom y arts at the end tukaingia kweny mambo y utawalaUNA TALENT GANI WEWE BINAFSI UNAVYOJIONA TANGU UTOTO MPAKA SASA
bora ukasome graphics,painting,multimedia.Kweny design mkuu maana toka mdogo nilikuw napenda sana kuunda vijumba kupitia mabox,sema ndio hivyo utoto mwingi tukakimbilia masom y arts at the end tukaingia kweny mambo y utawala
Wa nn mkuu isiwe civil draftingbora ukasome graphics,painting,multimedia.
But kwa multimedia naskia n gharam sana kujiajir maan naskia kuna issue za camera nayo n ghar sana,au mkuu nayo imekaaje unaweza kunisaidia n hiibora ukasome graphics,painting,multimedia.
nani amekudanganya ndugu yangu.multmedia ni pana sana,ni zaidi ya camera na graphicsBut kwa multimedia naskia n gharam sana kujiajir maan naskia kuna issue za camera nayo n ghar sana,au mkuu nayo imekaaje unaweza kunisaidia n hii
Kimtaa mtaa watu wanafikiria ipo hivyo, ila ukianza kuisoma ndo utajua kiundani.nani amekudanganya ndugu yangu.multmedia ni pana sana,ni zaidi ya camera na graphics
embu jaribu DIT kama wana short course.lakini kama una nia kwann usijitose tu long course.Wazee sasa kwa short course kwa hii multimedia inatolew wapi? maan niliangalia chuo cha veta kipawa wanayo long course yaan certificate up to diploma
Daaah saw saw mzeeeembu jaribu DIT kama wana short course.lakini kama una nia kwann usijitose tu long course.
Bro IT naona kama n pana kidogo je kweny angle zipi mfano networking au database