Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Ha ! Ha ! Ha ! Huyo binti yako anaitwa nani ?
Ah ! Achana naye, naona hasira hata kulitaja
jina lake, alisema mama Juliana huku
akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake
huyo .
Muda wa makesheshe uliwadia , mama Juliana
ndiye aliyeanza kumchokoza kijana wake huyo
huku akiwa anahema kwa mihemo ya kimahaba
niue
Mpenzi wangu Bitungu , alisema mama Juliana
huku akichekacheka kimahaba.
Bitungu hakumwitikia mama Juliana bali
alimshika na kumwangushia kitandani
Lakini leo sitaki ile njia yako , nataka njia
yangu, alisema mama Juliana.
Noo ! Sitaki mpenzi , nilishakwambia tangu siku
ya kwanza uliponionjesha njia ile kwamba sitaki
kusikia njia nyingine , ulitaka mwenyewe lazima
tuitumie njia hiyo , alisema kijana huyo kwa
sauti iliyojaa uchu .
Mama Juliana hakuwa na jinsi ilibidi akubaliane ,
walipanda kitandani na kuanza kuchezeana
kwanza katika hali ya kupasha misuli ili waingie
uwanjani.
Mpenzi , hebu nionjeshe njia nyingine basi
jamani, mama Juliana alijaribu bahati yake
lakini Bitungu akakataa katakata.
Muda ulifika , mama Juliana akajitega kwa njia
ile ili mambo yaishe ambapo Bitungu naye
akaingia uwanjani kuanza soka .
***
Mara ya kwanza , Bitungu kukutana na mama
Juliana alishangaa sana . Sehemu kubwa ya
kufahamiana kwao kulianzishwa na mwanamke
huyo licha ya kuwa na umri mkubwa na kijana
huyo alikuwa kama mwanaye tu .
Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti ,
Butungu alishtuka wakati wa mechi kuanza
kumwona mwanamke huyo anamwelekeza kupita
kwenye njia tofauti kabisa na aliyoizoea.
Hali hiyo ilimpa wakati mgumu sana Bitungu ,
hata mama Juliana alilijua hilo . Lakini kwa vile
alikuwa akimpa pesa nyingi kijana huyo ,
akajikuta anazoea mpaka mwishowe akawa
hataki njia nyingine zaidi ya ile aliyofundishwa
na mwanamke huyo .
Tabia hiyo ndiyo iliyosababisha Bitungu
akaachana na demu wake , Siliani baada ya
kukutana naye siku moja na kutaka kumpitia
kwa njia aliyofundishwa na mama Juliana. Mzozo
mkubwa uliibuka mpaka Siliana akataka kumvaa
Bitungu.
***
Baada ya siku hiyo kwa mama Juliana, Bitungu
aliendelea na mambo yake kwa ahadi ya
kukutana siku tatu mbele . Walikuwa wakikutana
mara tatu au nne kwa wiki moja yenye siku
saba.
***
Siku hiyo isiyokuwa na jina , simu ya Bitungu
iliita , alipoangalia jina halikuwepo, akaipokea
Haloo Haloo, naitwa Juliana, tulikutana
benki
Ooo , baby wangu , vipi ? alisema Bitungu
Poa , mzima wewe ?
Mi mzima sweetheart, umenitosa halafu
mbaya zaidi siku ile namba hukunipa zaidi ya
wewe kuchukua ya kwangu ukasema utanibip
lakini hukufanya hivyo.
Mambo mengi jamani, nisamehe bure .
Nimeshakusamehe baby, niambie.
Uko wapi ?
Nipoo nipo wapi hapa, panaitwaaaa yaani ni
jirani na Amana
Ndiyo unaishi hapo au?
Hapana , kuna mtu nilikuwa naongea naye
ndiyo nimemalizana naye sasa . Je , naweza
kukuona ? Si uliniambia unaishi Ilala !
Yap ! Unataka nije ?
Ndiyo maana yake jamani Juliana
Basi nakuja. Chukua Bajaj , ukifika jirani na
Amana nipigie please .
Poa .
Bitungu alijipongeza sana kupigiwa simu na
binti mzuri kiasi kile , hakuamini hata chembe
hivyo alikaa mkao wa kusubiri Ikibidi
nisimkawize , leoleo nikamalizane naye. Tena siku
ile alionekana kama ni mtoto wa mjini , si ajabu
anajua kutumia njia ile , alisema moyoni
Bitungu.
Je, unajua nini kiliendelea?