Majivu ya mwili wake waliyavutia bangi

Majivu ya mwili wake waliyavutia bangi

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
183
Reaction score
408
Aliyekuwa CEO Wa Death Row Records 'Suge Knight' ameithibitishia TMZ kwamba baada ya Tupac Shakur kufariki dunia, mama yake alitaka mwili wake uchomwe moto (afanyiwe cremation) haraka iwezekanavyo. Suge alisema alipata mtu wa nyumba ya kuhifadhi maiti usiku huo ili afanye zoezi hilo, lakini mtu huyo alimwambia alikuwa tayari ana shughuli nyingi kwa siku chache zijazo.

Baada ya mwili wa Tupac kuchomwa moto, Suge alidai kwamba yeye na baadhi ya marafiki wa Tupac walichukua majivu yake. Alidai walichanganya majivu hayo na bangi (marijuana) na wakaviringisha kwenye “blunt” (sigara kubwa ya bangi) kisha wakavuta.

Suge alisema walifanya hivyo kwa sababu walihisi ndiyo njia ya kumuenzi Tupac, wakidai Tupac aliwahi kusema angependa kufanyiwa hivyo.

majivu.png
 
View attachment 3653546
Ausio Bangi flani hivi kama sosej
 
Back
Top Bottom