fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
uongoz mbovu vichwa matope,mbwembwe za nin kwa mfu na wajawazito wanalala chin watazaliwa kina kanumba wengi tu,kesho utaskia familia wakigombania
Tuache kuwa EMOTIONAL DRIVEN kama wanawake, serikali IMEKOSEA. Kanumba was just an individual na alichofanya si jambo linalokubalika na kila mtu.
1. The so called FILAMU kwa sasa imekuwa ndio kitovu cha uhuni na uasherati mkubwa kama huu uliopelekea kifo chake (Sipongezi, zinaharibu akili zenu)
2. Huyu anayesema msiba wa Kanumba umewagusa wengi, hicho si kigezo. Magazeti ya SHIGONGO yanasomwa na karibu wanawake wooote waliofeli form 4 na wasio na mwelekeo, je hicho ni kigezo kuwa UWAZI na IJUMAA ndio magazeti bora hapa Tanzania? (Lipime wewe mwenyewe kama una akili timamu)3. Allocation ya fedha za serikali ina taratibu zake.
Ikiwa leo kafa Kanumba 15m, kesho (kwa mfano, Mwenyezi Mungu aepushie mbali) akafa Juma Kaseja, serikali isipotoa 15m tutawaelewa?Nionavyo mimi: Kuwa msanii hakumlazimishi mtu awe MUHUNI. Ukisoma headlines za magazetu yenu haya ya UDAKU utaona jinsi yalivyopambwa na habari za Fulani na Fulani wamelala chumba kimoja Nairobi, Uwoya kafumaniwa na mume wa mtu, Sijui nani kabakwa, yaani ni full upuuzi.
Ikiwa haya ndio mnayoyaita maendeleo leo hii tukiwa wabovu kiuchumi kama nchi, basi tuna safari ndefu.Wasanii wafanye sanaa na sio uhuni. Umaarufu kunuka huo mnaojivunia kwa kuwa nje ya nyumba za baba zenu saa 8 usiku ndio matokeo yake haya. Mtoto wa miaka 18 ana mabwana 6 hadi anawaua wengine kwa presha halafu mniambie mimi nikiwa na akili zangu timamu bila pombe, ETI HAYO NI MAFANIKIO KWA TANZANIA, nyooo! Kwendeni zenu huko
Tuache kuwa EMOTIONAL DRIVEN kama wanawake, serikali IMEKOSEA. Kanumba was just an individual na alichofanya si jambo linalokubalika na kila mtu.
1. The so called FILAMU kwa sasa imekuwa ndio kitovu cha uhuni na uasherati mkubwa kama huu uliopelekea kifo chake (Sipongezi, zinaharibu akili zenu)
2. Huyu anayesema msiba wa Kanumba umewagusa wengi, hicho si kigezo. Magazeti ya SHIGONGO yanasomwa na karibu wanawake wooote waliofeli form 4 na wasio na mwelekeo, je hicho ni kia
acha matusi wewe,alaf nmefundua una uwivu sana kama demu wangu..
alaf umewadhalilisha sana wasichAna..
ishapta,ashazkwa kifalme na pia ameshapewa hizo pesa..roho ikuuuuuuuuuuume mpaka ufe ****** wee..
Kitendo kilichofanyika ni cha busara,kubali ukatae Kanumba amewasaidia kwa njia moja ama nyingine vijana wengi kujiajiri kwa sababu ya kazi zake na pia amelitangaza soko la nchi yetu(la filamu) kwa kiasi kikubwa.usiwe mtu wa kupinga tu mambo ndugu yangu kama kusoma huwezi hata picha huoni,hawezi kuwa kama wewe kiukweli vinhinevyo uniambie ni nin ulishafanya kwa nchi yako chenye manufaa kimataifa
Mkuu umenena kweli kabisa. Watu wanashabikia mambo ambayo hayana msingi kabisa. Ni kweli nakubaliana kuwa kanumba alikuwa msanii maarufu na alijitahidi kadri ya uwezo wake kuinua sanaa ya filamu nchini.
Lakini hii haihalalishi maisha machafu aliyokuwa anaishi yeye na wasanii wenzie walio hai na hivyo kuhalalisha matumizi makubwa ya fedha za serikali kwenye mazishi yake. Wote tunajua kuwa MSANII NI KIOO CHA JAMII! Nani ana ujasiri wa kusema wazi kuwa maisha ya Kanumba yalikuwa kama kioo kwa jamii anayoishi!
Kanumba alianza kuigiza na Lulu akiwa binti mdogo sana! Huwezi kukataa kuwa ujasiri wa haka kabinti kuwa na mabwana lukuki kaliupata kutoka kwa wasaani waliokuwa wanakazunguka toka kalipojiingiza kwenye tasnia ya filamu akiwemo Kanumba mwenyewe! Kwa hiyo namshangaa sana mtu anayesema bila aibu kuwa kanumba ALIELIMISHA JAMII! Kwa lipi hasa!? Tusifiche ukweli kwa kuogopa maiti! The fact ni kwamba wasaani wanaishi MAISHA MACHAFU!
Tena sana!Kama tusingekuwa wanafiki viongozi wetu wangetumia msiba wa Kanumba kutoa speech zenye kuwakemea wasaani kutoka na LIFE STYLE yao mbovu! Lakini matokeo yake wameutumia KUJIPENDEKEZA KISIASA KWA KUDHANI KUWA WATARUDISHA IMANI YA WANANCHI KWA LI-CHAMA LAO LILILOKOSA MVUTO! NON SENSE! Hebu fikiria kuwa TBC iko hatarini kufungwa kwa ukosefu wa fedha za kuindesha, lakini leo hii Wizara hiyo hiyo inatoa 15m kwa msiba wa mtu aleyekufa akizini, kama sio laana ni nini????
uongoz mbovu vichwa matope,mbwembwe za nin kwa mfu na wajawazito wanalala chin watazaliwa kina kanumba wengi tu,kesho utaskia familia wakigombania
hapo nilopo boldtuache kuwa emotional driven kama wanawake, serikali imekosea. Kanumba was just an individual na alichofanya si jambo linalokubalika na kila mtu.
1. the so called filamu kwa sasa imekuwa ndio kitovu cha uhuni na uasherati mkubwa kama huu uliopelekea kifo chake (sipongezi, zinaharibu akili zenu)
2. Huyu anayesema msiba wa kanumba umewagusa wengi, hicho si kigezo. magazeti ya shigongo yanasomwa na karibu wanawake wooote waliofeli form 4 na wasio na mwelekeo, je hicho ni kigezo kuwa uwazi na ijumaa ndio magazeti bora hapa tanzania? (lipime wewe mwenyewe kama una akili timamu)
3. Allocation ya fedha za serikali ina taratibu zake. Ikiwa leo kafa kanumba 15m, kesho (kwa mfano, mwenyezi mungu aepushie mbali) akafa juma kaseja, serikali isipotoa 15m tutawaelewa?
Nionavyo mimi: Kuwa msanii hakumlazimishi mtu awe muhuni. Ukisoma headlines za magazetu yenu haya ya udaku utaona jinsi yalivyopambwa na habari za fulani na fulani wamelala chumba kimoja nairobi, uwoya kafumaniwa na mume wa mtu, sijui nani kabakwa, yaani ni full upuuzi. Ikiwa haya ndio mnayoyaita maendeleo leo hii tukiwa wabovu kiuchumi kama nchi, basi tuna safari ndefu.
Wasanii wafanye sanaa na sio uhuni. Umaarufu kunuka huo mnaojivunia kwa kuwa nje ya nyumba za baba zenu saa 8 usiku ndio matokeo yake haya. Mtoto wa miaka 18 ana mabwana 6 hadi anawaua wengine kwa presha halafu mniambie mimi nikiwa na akili zangu timamu bila pombe, eti hayo ni mafanikio kwa tanzania, nyooo! Kwendeni zenu huko
Mkuu umenena kweli kabisa. Watu wanashabikia mambo ambayo hayana msingi kabisa. Ni kweli nakubaliana kuwa kanumba alikuwa msanii maarufu na alijitahidi kadri ya uwezo wake kuinua sanaa ya filamu nchini. Lakini hii haihalalishi maisha machafu aliyokuwa anaishi yeye na wasanii wenzie walio hai na hivyo kuhalalisha matumizi makubwa ya fedha za serikali kwenye mazishi yake.
Wote tunajua kuwa MSANII NI KIOO CHA JAMII! Nani ana ujasiri wa kusema wazi kuwa maisha ya Kanumba yalikuwa kama kioo kwa jamii anayoishi! Kanumba alianza kuigiza na Lulu akiwa binti mdogo sana! Huwezi kukataa kuwa ujasiri wa haka kabinti kuwa na mabwana lukuki kaliupata kutoka kwa wasaani waliokuwa wanakazunguka toka kalipojiingiza kwenye tasnia ya filamu akiwemo Kanumba mwenyewe! Kwa hiyo namshangaa sana mtu anayesema bila aibu kuwa kanumba ALIELIMISHA JAMII! Kwa lipi hasa!?
Tusifiche ukweli kwa kuogopa maiti!
The fact ni kwamba wasanii wanaishi MAISHA MACHAFU! tena sana! Kama tusingekuwa wanafiki viongozi wetu wangetumia msiba wa Kanumba kutoa speech zenye kuwakemea wasaani kutoka na LIFE STYLE yao mbovu! Lakini matokeo yake wameutumia KUJIPENDEKEZA KISIASA KWA KUDHANI KUWA WATARUDISHA IMANI YA WANANCHI KWA LI-CHAMA LAO LILILOKOSA MVUTO! NON SENSE!
Hebu fikiria kuwa TBC iko hatarini kufungwa kwa ukosefu wa fedha za kuindesha, lakini leo hii Wizara hiyo hiyo inatoa 15m kwa msiba wa mtu aliyekufa akizini!
Kama sio laana ni nini????
Well said mkuu! Kwanza mara ngapi wapiganaji km askari walokwenda kagera na polisi wanaokufa in the line of duty hawapati fedha toka wizarani ktk mazishi yao! Wanaishia kusafirishwa bush tena wakati mwingine kwa kujichangia wao! Hivi hiyo mi hela ya mchezo huwa haipo! Mtu kabaka ka binti na kidhibiti kipo anapewa sifa kibaaao! Wajinga ndo waliwao.
Tuache kuwa EMOTIONAL DRIVEN kama wanawake, serikali IMEKOSEA. Kanumba was just an individual na alichofanya si jambo linalokubalika na kila mtu.
1. The so called FILAMU kwa sasa imekuwa ndio kitovu cha uhuni na uasherati mkubwa kama huu uliopelekea kifo chake (Sipongezi, zinaharibu akili zenu)
2. Huyu anayesema msiba wa Kanumba umewagusa wengi, hicho si kigezo. Magazeti ya SHIGONGO yanasomwa na karibu wanawake wooote waliofeli form 4 na wasio na mwelekeo, je hicho ni kigezo kuwa UWAZI na IJUMAA ndio magazeti bora hapa Tanzania? (Lipime wewe mwenyewe kama una akili timamu)
3. Allocation ya fedha za serikali ina taratibu zake. Ikiwa leo kafa Kanumba 15m, kesho (kwa mfano, Mwenyezi Mungu aepushie mbali) akafa Juma Kaseja, serikali isipotoa 15m tutawaelewa?
Nionavyo mimi: Kuwa msanii hakumlazimishi mtu awe MUHUNI. Ukisoma headlines za magazetu yenu haya ya UDAKU utaona jinsi yalivyopambwa na habari za Fulani na Fulani wamelala chumba kimoja Nairobi, Uwoya kafumaniwa na mume wa
Tuache kuwa EMOTIONAL DRIVEN kama wanawake, serikali IMEKOSEA. Kanumba was just an individual na alichofanya si jambo linalokubalika na kila mtu.
1. The so called FILAMU kwa sasa imekuwa ndio kitovu cha uhuni na uasherati mkubwa kama huu uliopelekea kifo chake (Sipongezi, zinaharibu akili zenu)
2. Huyu anayesema msiba wa Kanumba umewagusa wengi, hicho si kigezo. Magazeti ya SHIGONGO yanasomwa na karibu wanawake wooote waliofeli form 4 na wasio na mwelekeo, je hicho ni kigezo kuwa UWAZI na IJUMAA ndio magazeti bora hapa Tanzania? (Lipime wewe mwenyewe kama una akili timamu)
3. Allocation ya fedha za serikali ina taratibu zake. Ikiwa leo kafa Kanumba 15m, kesho (kwa mfano, Mwenyezi Mungu aepushie mbali) akafa Juma Kaseja, serikali isipotoa 15m tutawaelewa?
Nionavyo mimi: Kuwa msanii hakumlazimishi mtu awe MUHUNI. Ukisoma headlines za magazetu yenu haya ya UDAKU utaona jinsi yalivyopambwa na haba
Jamani mbona sijajibiwa swali langu?nauliza tena. Serikali ya marekani ilitoa sh.ngapi Michael Jackson au whitney houston walipokufa?
Nimehuzunika sana na kifo cha mpendwa wetu na kijana mwenzangu Steve Kanumba.BUT kunakitu hakijaniingia akilini pale waziri wa vijana na utamaduni alipotangaza kwamba wizara yake itatoa sh.milioni 15 kwa familia ya kanumba,nilimshuudia kwa macho yangu kupitia tv.Then nilisoma gazeti la mtanzania nikakutana na habari inayosma 'serikali itagharamia mazishi yote ya kanumba.'.nauliza je hii bajeti hiyo inatolewa kwenye fungu gani la bajeti ya serikali ukizingatia Kanumba ni raia wa kawaida kama mimi ? Na je huyo waziri alitoa rambirambi yake binafsi?