Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

.....Ahsante ndugu yangu Bumpkin.ulio yaandika ni kweli kabisa.hii ndio taabu ya watanzania.Who is Kanumba ktk nchi hii yenye zaidi ya watanzania mamilioni.Au kwa sababu mtakosa kuona huo ufuska wake alokua akiwafundisha watoto wetu kupitia hizo sinema zake?cha ajabu ni kua wao wakati wanafanya hayo maigizo yao hua wanavaa vzr tu,lakini angalia hao dada zetu wanavyo dhalilishwa kwa kuvalishwa vichupi na sidiria tu,na mabusu,kukumbatiana na kunyonyana ulimi waziwazi kabisa bila hata ya kuona haya,wakielewa kua baadae huo mkanda utaonekana karibu nchi nzima na hata nje ya nchi yetu,jee huo ndo tuuite umaarafu?au ndio kigezo cha viongozi wetu kutumia hella zetu kama ubani kwa wana familia wa kanumba?No,thats not fair.Wengine wanasema ooooh kaifanyia nchi yetu makubwa,hebu atuambie ni yapi hayo makubwa?labda ya kuharibu silka na utamaduni wetu watanzania,maana hapo kabla hatujawahi kuona vijana wa kizalendo kunyonyana ulimi huku camera ikiwarikodi,halafu zisambazwe hadi huku kwetu vijijini zije kuwaharibu wtt.
Angekua Kanumba ni Mmarekani tungesama hii ndio culture yao,but not Tanzanian.eti wanasema MSANII NI KIOO CHA JAMII.Jamani hii ndo maana imefanya nchi yetu ikawie katika maendeleo.ukiwa maarufu kidogo hata kwa ujinga wako basi utaonekana STAR katika nchi,tuamkeni jamani...............
 
Mengi yamesemwa ktk uzi huu na ni ya kweli kabisa.2kumbuke watanzania wengi wako emotional na ukitaka kuwarubuni ni kuwadanganya kwa kuwafuata.serikali ilitaka sifa na imepata kwa kutoa izo 15m za wizara,10m za ubani(JK) na kugharamia mazishi,hawakuangalia vipaumbele ktk hilo. Ukitaka kujua upumbavu wetu wabongo ni pale 2lipoanza kulalamika eti leaders ni pafinyu 2ngepelekwa uwanja wa taifa nk. STUPID REASONING hawafkirii yule ni nani na favor zilizotolewa hawazioni
 
Back
Top Bottom