Ni sawa kuvunja ndoa sababu kunyimwa unyumba?

Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
Usimuache, maana yawezekana hafanyi hivyo kwa makusudi, ni kama ugonjwa tu na kuna siku atakuwa sawa.

Kwa sasa tafuta mpango wa kando awe anakutoa nyeg.e utulie.

Hata baadhi ya wanaume kuna wakati wanapitia hali kama hiyo. Kuna clip nimeona (nimeshindwa kui post hapa), mshangazi mrembo analalamika kuwa mumewe amebadilika, ni mwezi wa tatu sasa hajamgusa kabisa, wanalala kitandani kama kaka na dada
 
Hatumii uzazi wa mpango? Huwa zinakata nyege na kuongeza visirani. Kuna aina ya uzazi wa mpango hufanya uke kuwa mkavu sana hata ukitumia vilainishi lazima achubuke. Na akichubuka ukimwaga ndani inauma hiyo kila ukifikiria kufanya ukikumbuka hayo maumivu hautamani kabisa.
Kwan zina chumvi chumvi?
 
Nafikiri changamoto kubwa ya ndoa za sasa ni kuoana mkiwa bado hamja pevuka kiakili (Wavulana vs wasichana na sio Wanaume kwa wanawake) na pia kuoana kwa kutamaniana (kuendeshwa kwa hisia za tako, rangi na sura)

Kama ungekuwa mwanaume (ALPHA MALE), usingeleta haya malalamiko hapa na ni aibu mwanaume kujiliza unanyimwa unyumba. Ingetakiwa mkae chini na kuyaongea wenyewe ndani kwenu nawe kutoa maamuzi kama Mwanaume (Kichwa cha familia) na sio kujiliza humu. Hilo hata kulieleza kwa mashehe/wachungaji ni aibu na kujidharirisha. Ebu kaa chini na mkeo, muyaongee na kuyamaliza na sio kujiliza. Kuwa mwanaume na acha uvulana pumbavu wewe.
 
Sasa kilichomtoa kwake ni nin?kama Kuna jambo haliko sawa si aseme na mrekebishane?sasa kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho ni kwamba hamna maana ya ndoa sasa
Kwakweli wanawake hawaeleweki na mungu aliliona hili ndio maana karuhusu kuoa zaidi ya mmoja bila ya hivyo utakufa mapema, uhangaike kutafuta hela ukija nyumbani nako ndio kama hivyo hutoboi
 
Kuna options mbili mkuu, dhana ya kuvunja ndoa iondoe kabisa, hao madogo wanawahitaji sana sana.

1. Kaa nae chini myazungumze, ikiwezekana mpeleke sehemu nje huko mkalale kabisa, ongea nae awe wazi tatizo nini. Akifunguka yafanyieni kazi kwa pamoja, akikataa kufunguka nenda option namba mbili.

2. Tafuta mbadala, a secret mbadala, uwe unapunguza uzito huko. Makinika tu usijenge kibanda na kujisahau huko.

NB. Wanawake kwa asilimia kubwa wapo hivyo.
 
Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
No conjugal relation no marriage……
 
Ndoa bila tendo la ndoa ni upuuzi flani hivi...,kama mimi napiga nje na lazima nirudi na viashiria vya kuchepuka home ..,kama lipstick kwa nguo,marashi ya mchepuko, ikibidi na meseji za kuomba game tena mara ya pili...
 
Mwanaume ambaye kila siku ukiamka asubuhi H+ imewaka halafu mwanamke anakufanyia ukatiri huo hapo hakuna ndoa tena mwanamke akishaanza izo ishu kukunyima tena ni dalili tosha hakupendi tena Wala usitegemee mabadiliko Kuna uwezekano Kuna mwenzio anakula mke wako jambo la msingi tafuta mwanamke nje huyo wa ndani muendelee kulea watoto
 
Nimesikia wengine wamesema dawa za uzazi wa mpango sio nzuri.Kwa upande wangu naunga mkono hizo dawa sio nzuri tumieni Kalenda.

Kama tatizo litaendelea usitake kuvunja ndoa.Nenda Kwa muasisi wa ndoa ambaye ni Mungu atakusaidia tatizo lako.

Hapo vita ni Kati yako na Shetani na sio mke wako.Mke wako anatumika tu kama mkondo wa kufanya ya Shetani.Na Shetani ni roho huwezi kumshinda kama utaenda kimwili kwake.
 
Mwanaume ambaye kila siku ukiamka asubuhi H+ imewaka halafu mwanamke anakufanyia ukatiri huo hapo hakuna ndoa tena mwanamke akishaanza izo ishu kukunyima tena ni dalili tosha hakupendi tena Wala usitegemee mabadiliko Kuna uwezekano Kuna mwenzio anakula mke wako jambo la msingi tafuta mwanamke nje huyo wa ndani muendelee kuleta watoto
Ndiyo ukweli
 
Tatizo vijana wa siku hz kila kitu wanataka wafundishwe...usimvuruge mpe kila mpaka zawadi mpelekee ila tafuta single mama flan mwenye akili nyingi walau 10% then unapiga kimya kimya hakikisha wife hajui na uwe unamlilia kimtindo kuzuga tu
Tatizo mechi za ugenini gharama! Hawezi shindwa kujua kinachoendelea! Lazma kuna kitu kitavurugiga nyumba kuu haswa masuala ya Budget!
 
Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
[/QUOTEAchana na hiyo ndoa, Unyumba ndio msingi wa ndoa. Tafuta pisi nyingine
 
Back
Top Bottom