Ni sawa kuvunja ndoa sababu kunyimwa unyumba?

kibumu

Member
Mar 2, 2018
45
90
Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
 
Hapana huo ni utoto kuvunja ndoa kisa u'house

Jiongeze na utafakari kuna Mahali unakosea kama Mume..
 
Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
Uzazi wa mpango ni bomu la kupoteza hisia na K kuwa bwawa la mtera, waaseni Ke watumie kalenda.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Hatumii uzazi wa mpango? Huwa zinakata nyege na kuongeza visirani. Kuna aina ya uzazi wa mpango hufanya uke kuwa mkavu sana hata ukitumia vilainishi lazima achubuke. Na akichubuka ukimwaga ndani inauma hiyo🙌 kila ukifikiria kufanya ukikumbuka hayo maumivu hautamani kabisa.
 
i see
 
Inaumaje?
 
Back
Top Bottom