Wanaume mliopo kwenye ndoa hua mnafanya nini kutatua changamoto ya kunyimwa unyumba?

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Wakuu ndoa zina changamoto zake asikwambie mtu, hawa wake zetu ni mtihani ni viumbe ambao hawajui wanataka Nini.

Juzi tumelala na wife hataki ata ni mshike ni wiki Sasa imekata, nikaona huu utakua upuuzi.

Wakati huo mchana Kuna Dem mmoja kaja mkoa wangu ni rafiki angu ambae hatujawah sex ila tulisha kubalina changamoto ikawa umbali na ubusy kila mtu akawa busy na maisha yake.

Juzi kaja mkoa niliopo akanipa ramani ya alipo fikia lorge mida ya usiku alitoka kupata chakula na wine aliporudi room akanipigia, hatambui Kama nimeoa ila anajua kua ninakusudia kuoa.

Wakati akipiga simu skupokea akatuma sms " nimerudi room tayari Kama unaweza njoo." Hii mesej ilinivuruga baada ya kuona wife hataki ata kushikwa afu ni wiki inaelekea ya 2 Sasa Wala hajali. Ukifanya nae leo unaanza kuwaza sjui mtafanya lini Tena "mateso"

Wakati huo ilikua saa6 usiku nikaona huyu mwanamke "mke"ananichezea akili, nikavaa pensi na tishrt yangu nikafungua geti nikamuacha wife kitandani huyoooo nikasepa zangu kwa yule Dem Alie fikia lorge.

Bahati mbaya wakati Dem anapiga na kutuma sms skuzijibu kwa wakati nilivunga kuzuga kwanza kwakua nilikua na wife skutaka kuonesha Kama nafanya mawasilino nae simu ilikua silent kwahiyo nilichelewa kumjibu Kama nusu saa hivi d akalala.

Piga smu ya Dem hapokei piga Sana hapokei, nikaamua kurudi kwa upole nikalala zangu, asibuhi alinitafuta tukawekana sawa.

Hi niliamua kufanya maamuzi haya kutokana na kunyimwa unyumba na wife,

Maamuzi mengi nimefikilia ikiwemo kumsusia kila kitu anacho nifanyia Mimi, chakula, maji ya kuoga, nguo. Au nimwambie aende kwao anipe nafasi akili yangu kupumua.

Kiukweli hii changamoto ina ni asili KIASI flani niamkapo asubuhi nakua mwenye hasira na namtumia mda mwingi kufikiri Jambo hili kabla sjafika kazini.

Wanawake mnajisahau Sana mnatufanya sisi wanaume waaminifu tuanze kuchepuka.

Hili tatzo limeanza tangu wife abebe ujauzito na Sasa ina miezi 4 tu Nina safari ndefu Sana.

FB_IMG_16722566992845247.jpg
 
Wakuu ndoa zina changamoto zake asikwambie mtu, hawa wake zetu ni mtihani ni viumbe ambao hawajui wanataka Nini.

Juzi tumelala na wife hataki ata ni mshike ni wiki Sasa imekata, nikaona huu utakua upuuzi.

Wakati huo mchana Kuna Dem mmoja kaja mkoa wangu ni rafiki angu ambae hatujawah sex ila tulisha kubalina changamoto ikawa umbali na ubusy kila mtu akawa busy na maisha yake.

Juzi kaja mkoa niliopo akanipa ramani ya alipo fikia lorge mida ya usiku alitoka kupata chakula na wine aliporudi room akanipigia, hatambui Kama nimeoa ila anajua kua ninakusudia kuoa.

Wakati akipiga simu skupokea akatuma sms " nimerudi room tayari Kama unaweza njoo." Hii mesej ilinivuruga baada ya kuona wife hataki ata kushikwa afu ni wiki inaelekea ya 2 Sasa Wala hajali. Ukifanya nae leo unaanza kuwaza sjui mtafanya lini Tena "mateso"

Wakati huo ilikua saa6 usiku nikaona huyu mwanamke "mke"ananichezea akili, nikavaa pensi na tishrt yangu nikafungua geti nikamuacha wife kitandani huyoooo nikasepa zangu kwa yule Dem Alie fikia lorge.

Bahati mbaya wakati Dem anapiga na kutuma sms skuzijibu kwa wakati nilivunga kuzuga kwanza kwakua nilikua na wife skutaka kuonesha Kama nafanya mawasilino nae simu ilikua silent kwahiyo nilichelewa kumjibu Kama nusu saa hivi d akalala.

Piga smu ya Dem hapokei piga Sana hapokei, nikaamua kurudi kwa upole nikalala zangu, asibuhi alinitafuta tukawekana sawa.

Hi niliamua kufanya maamuzi haya kutokana na kunyimwa unyumba na wife,

Wanawake mnajisahau Sana mnatufanya sisi wanaume waaminifu tuanze kuchepuka.

Hili tatzo limeanza tangu wife abebe ujauzito na Sasa ina miezi 4 tu Nina safari ndefu Sana.

View attachment 2461445
Tunajichukulia sheria mkononi
 
Anaanzaje kwanza kuninyima!!??
 
Kumbe ni mjamzito, nilifikiri ni mzima.

Vumilia mkuu lea mimba
 
Fanya mazoezi kunywa maji mengi na uamke asubuhi mapema fanya kila kitu ambacho mfanyakazi anafanya ndani.
Rejea nyumbani kula chakula Cha Mchana baada ya siku 7 utapata majibu
 
Kwa suala lako hili tabia yako hiyo hiyo ya kuchepuka ndio inayokufanya mkeo akujime unyumba, acha kusingizia mimba wakati ukweli unaujua
Sijawahi kuchepuka Wala kuonesha dalili za za kumkosea heshima ila hii miezi mi3 tangu ashike mimba ananifanya nifikilie kuchepuka.
 
Back
Top Bottom