Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,247
- 42,004
Lazima mtu akataeHaha..
Halafu akirudi usiku anataka kusugua tena hapo hapo, duh
Lazima mtu akataeHaha..
Halafu akirudi usiku anataka kusugua tena hapo hapo, duh
Tatizo unakuta mwanamke hasemi kama ameumia. Anagoma tu bila maelezo, mume anajua ni ujeuri, anafanya makusudi au amepata danga anatoshelezwa huko, then tafrani inaanzaLazima mtu akatae
Hakuna ndoa hapoHabari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
😂😂😂😂 wanawake wengi wakizaa hamu ya ngono inakata wengi wao ila wengine fungukia bombaHatumii uzazi wa mpango? Huwa zinakata nyege na kuongeza visirani. Kuna aina ya uzazi wa mpango hufanya uke kuwa mkavu sana hata ukitumia vilainishi lazima achubuke. Na akichubuka ukimwaga ndani inauma hiyo🙌 kila ukifikiria kufanya ukikumbuka hayo maumivu hautamani kabisa.
Wanaume wanadhani ni makusudi😂😂😂😂 wanawake wengi wakizaa hamu ya ngono inakata wengi wao ila wengine fungukia bomba
Mbona sperms zingine haziwash my? Wengine zinawashaWanaume wanadhani ni makusudi
Labda kama haujapata michubuko, ila ukichubuka zinawasha bhanaaMbona sperms zingine haziwash my? Wengine zinawasha