antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,756
- 120,519
Usimuache, maana yawezekana hafanyi hivyo kwa makusudi, ni kama ugonjwa tu na kuna siku atakuwa sawa.Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.
Kwa sasa tafuta mpango wa kando awe anakutoa nyeg.e utulie.
Hata baadhi ya wanaume kuna wakati wanapitia hali kama hiyo. Kuna clip nimeona (nimeshindwa kui post hapa), mshangazi mrembo analalamika kuwa mumewe amebadilika, ni mwezi wa tatu sasa hajamgusa kabisa, wanalala kitandani kama kaka na dada