Ni salama ku-do this day?

Ni salama ku-do this day?

God forbids it....................... you will unclean yourself.......................You do not want to be untidy, or do? Besides there are biological consequences, too...............
 
God forbids it....................... you will unclean yourself.......................You do not want to be untidy, or do? Besides there are biological consequences, too...............
Ruta; haya sio mazoea kweli?................what are the biological consequences?
 
Mmh, tabu ni pale kicheni pate zinapohamia JF, by the way, muuliza swali, binafsi mwaya sijui ila nilishisikia kwenye mafundisho fulani hivi kua kama umepewa siku zote hizo za kulala na mkeo au mumeo kwa nini kipindi hiki tena kifupi tu usiwe mvumilivu?? Nadhani hii ndip point...subiri hayo maji yapite kisha teka hayo masafi uyanywe ndipo kiu yako itakapo pungua na kuisha.

Asante

Nashukuru,ila tatizo ni kwamba hatujaonana kwa mda wa mwaka mzima na nafika nyumbani ijumaa na ameingia kwenye mzunguko wake jana "juma5",nahisi itakua vigumu kuvumilia au niahirishe safari for two days?
 
Labda nikuulize kwanza Speaker, wanaume nao wana siku zao??????Anyway, when one door is closed, others are open!

Najua unacho maanisha ila my moral standard ethics don't allow me to do that achilia mbali muumba wangu na heshima niliyo nayo kwa mwenzangu pia
 
Kiukweli kabisa haina tatizo kama imeshapungua isiwe zile siku ambazo inatoka nyingi sana. Kwa kawaida kama siku ya tatu na kuendelea haina noma kabisaaaa!! Cha muhimu ni kumfuta mwenzio mapema nawe kunawa na kuvaa pedi tena mapemaaaaaa!! Kama mnakinai sana damu basi jioshe na maji ya mchele inatulia kidogo kwa muda!! tena unajua wakati wa siku zako huko chini kunakuwa kwa motoooo. Na kama inatoka kidogo unaweza kufanya bila hata mwenzi wako kujua

muwe mnawazoesha kuvumilia jamani...nini hiki?
 
Hazijakamatwa na polisi kweli? hebu nenda central ya kati ukazicheki kwanza!

Hahaaa....nikiwakamata wezi wangu......:angry::angry::angry::angry:!
Eti jamaa anauliza kama haramu kula kisusio...
 
Kiukweli kabisa haina tatizo kama imeshapungua isiwe zile siku ambazo inatoka nyingi sana. Kwa kawaida kama siku ya tatu na kuendelea haina noma kabisaaaa!! Cha muhimu ni kumfuta mwenzio mapema nawe kunawa na kuvaa pedi tena mapemaaaaaa!! Kama mnakinai sana damu basi jioshe na maji ya mchele inatulia kidogo kwa muda!! tena unajua wakati wa siku zako huko chini kunakuwa kwa motoooo. Na kama inatoka kidogo unaweza kufanya bila hata mwenzi wako kujua

Asante sana,siku naonana nae itakua ya tatu maana kaingia juma5 na ntafika home ijumaa jioni
 
God forbids it....................... you will unclean yourself.......................You do not want to be untidy, or do? Besides there are biological consequences, too...............

Knowing that there are biological consequences is not enough b'se when i tell her she will need me to explain i details (if she will need any way because am just taking a precaution),....tell me those consequences,its one way to learn as well
 
mmh, tabu ni pale kicheni pate zinapohamia jf, by the way, muuliza swali, binafsi mwaya sijui ila nilishisikia kwenye mafundisho fulani hivi kua kama umepewa siku zote hizo za kulala na mkeo au mumeo kwa nini kipindi hiki tena kifupi tu usiwe mvumilivu?? Nadhani hii ndip point...subiri hayo maji yapite kisha teka hayo masafi uyanywe ndipo kiu yako itakapo pungua na kuisha.

Asante

swadaktaaaaa!
 
hata kama unahamu na ni siku yake ya bleeding ya kwanza ni vema mkacheza na romance tu.
 
Samahani wapendwa,hivi kuna madhara gani kufanya mapenzi ukiwa katika siku zako kwa wote female na male?

Mizuka ikipanda sana ipe roho ile kitu inapenda. Unapiga soap soap halafu shughuli inaendelea kama kawaida. Wengi wanafanya siku hizi:A S 103:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom