Ni salama ku-do this day?

Ni salama ku-do this day?

Kuna baadhi ya akina mama ambao inaweza kuwalazimu kufanya tendo la ndoa wakiwa kwenye siku zao ili waweze kupata ujauzito. Hawa ni wale ambao mzunguko wao ni siku14.
 
Kuna baadhi ya akina mama ambao inaweza kuwalazimu kufanya tendo la ndoa wakiwa kwenye siku zao ili waweze kupata ujauzito. Hawa ni wale ambao mzunguko wao ni siku14.
Kwani mkifanya hizo siku kuna uwezekano wa mimba?
 
Kiukweli kabisa haina tatizo kama imeshapungua isiwe zile siku ambazo inatoka nyingi sana. Kwa kawaida kama siku ya tatu na kuendelea haina noma kabisaaaa!! Cha muhimu ni kumfuta mwenzio mapema nawe kunawa na kuvaa pedi tena mapemaaaaaa!! Kama mnakinai sana damu basi jioshe na maji ya mchele inatulia kidogo kwa muda!! tena unajua wakati wa siku zako huko chini kunakuwa kwa motoooo. Na kama inatoka kidogo unaweza kufanya bila hata mwenzi wako kujua

Ushindwe na ulegee kwa jina bwana aliyenena na mtume mussa katika mlima sinai ewe makiyuye na wenzio wenye mtazamo kama wako.
Ni haramu, ni haramu, ni haramu, ni harumu, tena ni haramu kubwa kumuingilia mkeo wakati akiwa katika hedhi. Usiwaelekeze watu njia iliyo ya shetani. Enyi wanawake msikubali kuingiliwa na wanaume zenu mkiwa katika siku zenu, kufanya hivyo ni kumchukiza mola wenu aliyekuumbeni.

Mafundisho yanasema:
Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika basi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wanao tubu na huwapenda wanao jisafisha. ( Quran 2:222)


Soma zaidi kuhusu hedhi kupitia hapa:

Je, Inafaa Kumuingilia Mke Baada Hedhi Lakini Kabla Ya Ghuslu? | Alhidaaya.com
063 - Hedhi Na Nifasi (2) | Alhidaaya.com
16 Makatazo Ya Jimai (Kitendo Cha Ndoa) Wakati Wa Hedhi | Alhidaaya.com
18 Yanayoruhusiwa Anapokuwa Katika Hedhi | Alhidaaya.com
Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika (Aadabu Az-Zafaaf Fiy As-Sunnat Al-Mutwahharah) | Alhidaaya.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom