Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Uliwahi kumsikia mtu akiitwa Dr. Maua Abedi Daftari?. Zakhia Megji, Dr. Hussein Mwinyi, Hassan Nassor Moyo, na wengine kibao wamewahi kuwa mawaziri wa wizara zisizo za muungano. Ukiuliza kitu ni unauliza kwasababu hujui, na wanaojibu wanakujibu ili kukutoa huo ujinga ulionao, ila mjinga akielimishwa ujinga unamtoka anakuwa ameelimika, mjinga anaye elimishwa halafu akawa haelimishiki, huyo sasa anakuwa sio mjinga tena, huyo ni ... naomba nisimalizie nikaonekana ninatukana watu humu!.Katiba ilivunjwa for the first time na ndio maana alipata shida kuwa mgombea Uraisi Zanzibar . wazanzibari wakasema huyu mbara huyu angekuwa mzanzibari asingepewa wizara isiyo ya muungano wakasema Magufuli anataka kutuletea mtu wa bara hatutaki Ilimgharimu Sana tu.Wanzanzibari walihoji uzanzibari wake kuwa siyo!!! Kuwa Kama Ni mzanzibari ilikuwaje akapewa wizara isiyo ya muungano? Wakampiga chini!!!
Pascal hoja huna
P