Ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za Wizara zisizo za Muungano zikijadiliwa?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
32,764
2,000
Tanganyika Bila kujali itikadi za vyama Wala Nini tuungane kwenye hili wao wanzanzibari huwa na soldary Sana kweye mambo yao huacha itikadi za vyama pembeni na vyeo vyao huungana pamoja kumkabili mtangayika
Na Sisi tuungane watanganyika sekta zote.Ukienda kikao chochote usikae Kama bwege kimya ongea usiache tu wanzanzibari wachonge mdomo .Ongea mtoto wa kiume au wa kike .Mdomo Mungu kauumba kwa ajili ya kuongea.Ongea boldly popote ukiwakilisha maslahi ya Tanganyika
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
32,764
2,000
Tanganyika Law society , wanaharakati ,vyama vya siasa bila kujali itikadi ,bunge , mahakama, serikali,mitandao,nk naleta hi hoja rasmi kwenu.Muishughulikie
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
32,764
2,000
Waandishi wa habari kazi kwenu msiwe tu reporters was hotuba za viongozi do your homework on this and inform the public
 

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
3,724
2,000
ZANZIBAR NI MKOA SI NCHI ....
Wanafanyiwa kiini macho tu wajione kwamba wananchi yao Huru wakati JKN alishaichukua
 

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,647
2,000
Mkuu YEHODAYA kuna mdau anauliza hapo juu. Kwanini bunge la muungano lijadili mambo yasiyo ya muungano? Wabunge wa Zanzibar wameenda kwenye bunge la muungano, ghafla Spika anaruhusu wanaanza kujadili mambo yasiyo ya Muungano. Utawatoaje?
 

E oxygen

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
326
250
Je, ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za wizara zisizo za muungano zikijadiliwa kwenye bajeti nk

Na je Ni sahihi wao kuwemo kamati za bunge za mambo yasiyo ya muungano?

Wanatakiwa wahudhurie vikao tu vinavyohusu Mambo ya muungano tu sio yote. Yanayotuhusu watanganyika wasihudhudhurie warudi kwao Zanzibar sababu Sisi bara huwa hatuendi kuhudhuria vikao vya Baraza la wawakilishi na kuwemo kamati zao za Baraza la wawakilishi hii Ni kero ya Muungano.
Aah comrade kama utamwakikishia utampa mpunga wake unaomfanya afanye hivyo humwoni kabisa akifanya hivyo
 

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
1,000
Mawasiliano yaani telecommunication ni suala la 11 la muungano, soma ibara ya 4 ya katiba ya Tanzania.

Ndiyo maana wanakunanga humu digrii yako ya sheria japo mimi sikunangi.

Prof. Mbarawa alikuwa wizara ya Mawasiliano na sio ya Muungano!. Humu jf tuna mijitu mijinga ajabu!. Kila Mzanzibari ana haki zote za Mtanzania!. Acha ujinga!.
P
 

Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,226
2,000
Naomba ukae mbali na huu mjadala uko zaidi ya uwezo wako ulishaona wabunge wa Zanzibar wakiteuliwa uwaziri wizara zisizo za muungano?

Pascal hiyo digrii yako ya sheria inabidi chuo kilichokutunuku wakunyanganye huitendei Haki hufai kuwa Alumni wa chuo ulichohitimu
hizo ni degree fake za kanisani madhumuni ni kuonesha wakristo ndio walio soma tu nchi hii
 

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
678
1,000
Hili swala ni tamu sana sema watu munataka kulijibu kwa kutumia uelewa hebu tufanye kutafta Sheria (Laws) zinasemaje kwenye hili halafu tuanze kupigana spana vizuri na kuleta hoja za msingi.
 

mbandeon

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
1,484
2,000
Je, ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za wizara zisizo za muungano zikijadiliwa kwenye bajeti nk

Na je Ni sahihi wao kuwemo kamati za bunge za mambo yasiyo ya muungano?

Wanatakiwa wahudhurie vikao tu vinavyohusu Mambo ya muungano tu sio yote. Yanayotuhusu watanganyika wasihudhudhurie warudi kwao Zanzibar sababu Sisi bara huwa hatuendi kuhudhuria vikao vya Baraza la wawakilishi na kuwemo kamati zao za Baraza la wawakilishi hii Ni kero ya Muungano.
Kwani wao sio Watanzania ... sometime unakuaga mwehu flani ivi wewe jomba.
 

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,181
2,000
Naona akili imeanza kukurudia but jua kabisa tatizo ni katiba
Sasa hadi kamati za bunge nazo zisubiri katiba???!!!
Hilo si jambo la kiutendaji tu
Ni suala la spika kuliongea wa bunge waliafiki
Ni suala la kikanuni zaidi za bunge sio suala la katiba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom