ni kada la ccmKwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?