Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,092
- 4,031
Mke wangu ana haki wa kufua kila kilicho changu kinachohitaji kufuliwa!Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
Huu ni mgawanyo wa majukum ambao kwa jamii zetu hilo jukumu linawaangukia wanawake! Hivyo ni sahihi kabisa na inabidi iwe hivyo!