Ni sahihi mke kufua boxer/kufuli la mume wake?

Hawa wanawake wanaojiita wasomi wana shida sana.

Nimemaliza haja ngoja nimuite D aje anitawaze

Deeeeeeaaàaaaarrr
 
Aya mambo ni swala la kusaidiana tu me sioni tatizo,maana akifua boxer yangu haipunguzi chochote zaidi ya kuongeza upendo,japo sina tabia ya kuacha boxer bafuni bila kufua.Kuna wakati namkuta wife kawahi kufika nyumbani,kaoga alafu kaloweka kufuli lake lake jeupe ili lilainike.Mimi nikitoka kazini nikiingia bafuni na kulikuta huwa namsaidia kufua pamoja na boxer yangu,sioni ubaya wowote,japo ni jambo la mara moja moja sana.
Ivyo ni sahihi tu kufuliana izo mambo,ila ukiwa mtu wa kusikiliza mambo ya nje na kutokuangalia ndoa yako,utaona si sahihi kufua.
 
Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
Zinafuliwa na House Girl siyo Mke... Sijui hawa Wanawake wa siku Hizi wamezaliwa na Viumbe Gani? Yaani hata unashindwa kujiuliza akili zao zinafikilia nini.. Hii ni Hoja ya Kujadilika humu....?

House Girl Pia ni Mwanamke na ana haki ya Kike Kama Ulivyo wewe Uliyesoma na Kuajiriwa kwenye Idea ya Mtu Mwingine kinachotofautiana ni Mgawanyo tu wa Majukumu... Division of Labour
 
Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
Kabla ya kuoa hizo boxer ulikuwa unasaidiwa na nani kwani?inatakiwa kazi msaidiane ila house girl kufua ni noma pia vitaulo na mashuka mlio lia chakula chenu cha usiku yapaswa yafuliwe na wahusika.Nilishangazwa sana kuna familia nyengine boxer za baba na chupi za mama zinakusanywa wiki mzima afu anapewa house girl afue kweli hii ni sawa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binge acha kazi kama ningekuwa house girl
 
Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
Kwani tatizo liko wapi? mi naona sawa ukimfulia boxer yake hata yeye akafua kufuri yako ni jambo la kawaida kwa wanandoa
 
Aya mambo ni swala la kusaidiana tu me sioni tatizo,maana akifua boxer yangu haipunguzi chochote zaidi ya kuongeza upendo,japo sina tabia ya kuacha boxer bafuni bila kufua.Kuna wakati namkuta wife kawahi kufika nyumbani,kaoga alafu kaloweka kufuli lake lake jeupe ili lilainike.Mimi nikitoka kazini nikiingia bafuni na kulikuta huwa namsaidia kufua pamoja na boxer yangu,sioni ubaya wowote,japo ni jambo la mara moja moja sana.
Ivyo ni sahihi tu kufuliana izo mambo,ila ukiwa mtu wa kusikiliza mambo ya nje na kutokuangalia ndoa yako,utaona si sahihi kufua.
Penzi lenu linaendeleaje mkuu ?
Hongera sana mpaka nimeingiwa na wivu.
 
Back
Top Bottom