Ni sahihi mke kufua boxer/kufuli la mume wake?

Siyo wote. Mm nishakataa wifi yako kunifulia
1. soksi
2. Handkerchief
3. Boxer
Nishagombana na wife kufua hivi vitu. Naona kama namfanya wife kuwa mtumwa badala ya mke. Huwa sijisikii amani kbsa akifua
I salute you
 
Back
Top Bottom