cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
- Thread starter
- #21
Nakupata ndugu yangu....sasa kwa uzoefu wako na kwafaida ya watu wengine wasiojua kama mimi ipi ni nzur? Maana umeniambia zipo zenye kupokea cm card . Zipo sijui zenye kupokea memory card nk...ipi nzur na iwe brand gan1. Zipo senye uwezo wa kupokea sim card
2. Karibia smart watch zote zina uwezo wa kukusaidia wakati wa kufanya mazoezi
3. Zipo ambazo hazina sim card lakini zinakuwezesha kusoma sms, kupiga na kupokea simu
4. Zipo zenye uwezo wa kupokea memory card
5. Zipo zenye uwezo wa camera na ku record
6. Zipo zenye uwezo wa ku control music from your smart phone
7. Weather forecast
8...
9...