Lizo mkristu
Member
- Oct 31, 2019
- 69
- 80
Habar zenu waungwana ivi Kwa bajet yangu ya 150k naweza pata tablet ya Samsung Galaxy series yoyote ile hata Kwa mtu ili namimi nifanye jambo langu flani ivi?
Hii kwa kusoma vitabu ni nzuri sanaHata ukipata itakua slow kama konokono.
Tablet pekee labda amazon Fire HD 10 used. Zinapatikana as cheap as $25 kwenye sale version ya 2017.
Ulishapata tablet ya samsung?Habar zenu waungwana ivi Kwa bajet yangu ya 150k naweza pata tablet ya Samsung Galaxy series yoyote ile hata Kwa mtu ili namimi nifanye jambo langu flani ivi?