Ni saa gani smart naweza kupata kwa bajet ya 50 elfu?

1. Zipo senye uwezo wa kupokea sim card
2. Karibia smart watch zote zina uwezo wa kukusaidia wakati wa kufanya mazoezi
3. Zipo ambazo hazina sim card lakini zinakuwezesha kusoma sms, kupiga na kupokea simu
4. Zipo zenye uwezo wa kupokea memory card
5. Zipo zenye uwezo wa camera na ku record
6. Zipo zenye uwezo wa ku control music from your smart phone
7. Weather forecast
8...
9...
Nakupata ndugu yangu....sasa kwa uzoefu wako na kwafaida ya watu wengine wasiojua kama mimi ipi ni nzur? Maana umeniambia zipo zenye kupokea cm card . Zipo sijui zenye kupokea memory card nk...ipi nzur na iwe brand gan
 
Unaniuliza maswali magumu sana...
Anyway, kwa nini unataka kununua smart watch!??
 
Niongee neno moja tu , kwa bajeti ya chini ya laki moja na zaidi ya elfu hamsini
HAYLOU SOLAR LO5 haina mpinzani kuanzia design mpka perfomance na features pia .
Nimritumia nikaichoka nikauza nampango wa kusaka nyingine soon.
Bei ni 76 elfu aliexpress mpka 80 hivi .
 
Specification zake ndio zimenivutia...kwa mfano kupiga cm kupokea na kutuma sms, camera kama ulivyosema, memory card nk kwaiyo hata mtu ukivaa unaonekana ni mtu ambaye unaenda na wakati
NA PIA ULIFAHAM HILI SMARTWATCH KALI NA ZINAZOKUPA KILA UKITAKACHO NILA LONGOLONGO HAKUNA YA CHINI YA LAKI 3 , HAIJALISH MCHINA AU NANI MFANO XIAOMI SMART WATCHES ( achana na mi band) ,ila siku ukishika hela nunua Samsung watches kama ile 3 jamaa yang anayo utakuja nishukuru
 
Pesa ya ivyo sina kiongoz...sijafikia level izo za kununua saa laki 3 si kwamba sipendi la hasha ila uko bado sijafikia
 
Habar wakuu, bilashaka natumai mu wazima wa afya tele.....!

Bila kupoteza tym naomba niende moja kwa moja kwenye point yangu, nimekuwa nikitaman kwa muda kuvaa saa ya smart ila nashindwa kufanya ivyo kutokana na ushamba wangu wa kutofaham ni saa gan naweza kuvaa kwa bajet yangu ya 50 elf...

Sasa basi kwa faida na ya watu wengine ni saa gan smart naweza kupata kwa bajet ya 50 elf? Natumai nitapata majibu ya kutosha umu jukwaan kwan jamiiforum ndio mtandao pekee wanye masuluhisho ya changamoto zetu........!!

Aksanten nawasilisha
Kwa hio budget ongeza kidogo tafuta smart band, zina make sense zaidi kwa maisha ya kawaida na pia zinakaa na chaji sana, wiki 2 ama zaidi.
960x0.jpg

Band nyingi ni around 50,000 mpaka 80,000 hivi, za Huawei Honor band overall ni nzuri zaidi.

Smartwatch nzuri ni 150,000 kupanda.
 
Kwa hio budget ongeza kidogo tafuta smart band, zina make sense zaidi kwa maisha ya kawaida na pia zinakaa na chaji sana, wiki 2 ama zaidi.
View attachment 1976824
Band nyingi ni around 50,000 mpaka 80,000 hivi, za Huawei Honor band overall ni nzuri zaidi.

Smartwatch nzuri ni 150,000 kupanda.
Sante kaka kwaiyo ninapoenda dukan niwaambie ninahitaji smart watch ya huawei au niwaelekezeje ili niweze kupata hitaji la moyo wangu?
 
Kwa hio budget ongeza kidogo tafuta smart band, zina make sense zaidi kwa maisha ya kawaida na pia zinakaa na chaji sana, wiki 2 ama zaidi.
View attachment 1976824
Band nyingi ni around 50,000 mpaka 80,000 hivi, za Huawei Honor band overall ni nzuri zaidi.

Smartwatch nzuri ni 150,000 kupanda.
Mkwawa akienda shop za bongo kuna watu wanauza mpka laki hizi smart band tena za kampuni zisizo reliable kabisa
 
Smartwatch nzur ambayo battery yake iko poa pia ina nguvu kwenye mtandao hata uende polini huko inashika bajeti yake inaanzia 100,000,hyo ya 50,000 niliwah kuwa nayo inafaa kwa mjini tu afu battery znakufa haraka

876d55d6-c4cc-4c47-be11-279e1cc55644.jpg

70,000
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom