Habari za kiintelijensia zilidokeza kuwa yeye na kundi lake wangehamia upinzani maana walijua hawapewi nchi. Na kwamba wangehakikisha wanatumia nguvu zote kuivuruga magamba. Wazee wa magamba kina Mwinyi, Mkapa, Kawawa, wakakesha usiku kucha mjini Dodoma wakijaribu kufanya maamuzi magumu zaidi. Tena yalikuwa maamuzi magumu mno kwa Mkapa. Ikalazimika huyu bo.gu.s apewe nchi japo kwa shingo upandeNaombeni tukumbushane sababu moja iliyofanya Kikwete kuaminiwa na kupewa ualali wa kuongoza Watanyania 2005.
chaguo la mungu
USANII maneno yaliyotoka mazuri yasiyo na uzingatiaji! kama vile: Ninafahamu matatizo ya watz, nitambana na UFISADI, nitairejelea mikataba ya madini upya! ili ilete faida kwa MTZ. Ninawafahamu wauza unga.Naombeni tukumbushane sababu moja iliyofanya Kikwete kuaminiwa na kupewa ualali wa kuongoza Watanyania 2005.
heading yako haiendani na ulichokiandika. think bigNaombeni tukumbushane sababu moja iliyofanya Kikwete kuaminiwa na kupewa ualali wa kuongoza Watanyania 2005.
Kwa hilo wala hajatuangusha kwa kweli. Na ile ndege iliyonunuliwa wakati tunakula nyasi inafanya kazi yake vilivyo!Tuliamini atakua waziri mzuri sana wa mambo ya nje! Kama tunavyoona sasa hivi kila kukicha yuko nje ya nchi.