Msubiri zomba anakuja sasa hivi.
1. Ni Rais anaependa kusafiri kuliko kukaa nchini kwake
2. Ni Rais anaependa kubembea akiwa nchi za watu
3. Ni Rais anaependa kusikilizwa za wazee badala ya yeye kuwasikiliza wao
4. Ni Rais dhaifu
5, Ni Rais.......
6. Ni Rais .......
Ni rais ambae Jacob Zuma ni role model wake kwa kuoa wake wengi
ni rais anayependa kupiga picha na wanamusic akiwa ugaibuni.
ni rais mwenye historia ya kupenda mademu kwa sana.
ni rais mwenye mipasho.
ni rais mtoto wake ni fisadi.