Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Ulipoandika FBI badirisha weka CIA. TISS==CIA
 
2020 ni Membe
 
Ule ulikuwa mpango wa system
kuhakikisha nchi inapata rais asiye mla rushwa. Lowasa ilikuwa lazima apelekwe upinzani ili kuua kabisa. Sasa kazi ilisha isha ni kula bata tu, mbow yupo segerea lupango anahudumia hahahah
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza!
 

Membe angekuwa smart, angemaliza tofauti na Edo kwanza then ndiyo aliamshe...........
Hapa naona JPM anatumia majeshi ya kukodi toka kwa Team Edo.........
 
Huyu mwangonda mnamuoverate sana,mtu mwenyewe kishazeeka,mawazo na mbinu zake ni za miaka ya 70,undefinedleo awe tishio kwa generation ya 4G kweli,?undefinedundefinedHebu nipe bilioni moja tu,nikuingize ikulu kwa mbinu zilizotukuka za kisiasa
 
Labda mie kipofu wa mambo ya kijasusi. Maana promotion zinazopewa kwa hawa makachero naishia kushangaa tu. Kama mnatuambia mwan'gonda alikuwa kambi ya lowassa, mbona hakufanikisha ashinde uchaguzi? Imebakia historia mara alishinda lakini hakutangazwa. Kwa maoni yangu naona makachero wanapewa nguvu isiyosawili, wakati watanzania wanataka maisha bora. Ukachero una trend kuliko matatizo ya watanzania. Hembu tujaribu kuvua kwanza joho la ujasusi, halafu tuwaangalie uhalisia wao kama wanaweza kutuvusha salama. Ukachero! Ukachero! Ah!
 

Upo sahihi mkuu, ila nadhani kwasasa ni tofauti kidogo, maana mtifuano wa ndani ni mkubwa, na walioshiriki kupindua matokeo nadhani ndiyo hao hawaridhishwi na mtu waliomweka, kwahiyo apo ni uwezo wa aliyewekwa kuweza kutengeneza system yake mpya kwa haraka na yenye uwezo, otherwise vita hii ni tofauti na za nyuma.........

Kuhusu uwezo wa Tiss, Zitto ndiyo anajua zaidi ni alishashauri, kuna ufanyaji kazi wa mazoea na uliopitiliza........
Haiwezekani nchi na rasilmali zote hizi isisonge mbele na ufisadi mkubwa unaendelea, then uje useme kuna Tiss imara........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…