Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,965
Tusubiri tuone
Kukosa akili ndio ugonjwa mbaya kuliko maradhi yote! Nahisi hujitambui.Membe hana mpango kisiasa, anajisumbua tu na kujidhalilisha. Anaacha kujikalia huko aliko na kunya kwa starehe, anakuja kutunyea hadharani sie.
Ulipoandika FBI badirisha weka CIA. TISS==CIAKuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
2020 ni MembeKuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
Inaitwa upepo kugeuka,Rudia tena,
Kikwete alikua imara Membe asifanikiwe?
Nikuambie tu kua kilichotokea 2015 hata JK hakukifurahia, ni vile tu hakua na jinsi ingine.
Kwan hakuna jibu sahihi la kumjibu?Acha ujinga wewe. Sio smart unamjua?
Usilolijua ni kama usiku wa giza!Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Mkuu mnatuficha sana, mtupe udambwi udambwi na sisi vidigidigi tupate picha halisi MNA andika kwa code za hali ya juuSomeone is missing in the picture (and it's actually a really big picture): The incumbent DGIS. Muanzie hapo!
Liko wap ww unalolijua ??Usilolijua ni kama usiku wa giza!
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
usisahau Membe ni mwandamizi wa hiyo idara.Yaaan ni kwamba Membe kaishaaa
we unataka kila kitu ulishwe mdomoni? jiongeze!!Membe angekuwa smart, angemaliza tofauti na Edo kwanza then ndiyo aliamshe...........
Hapa naona JPM anatumia majeshi ya kukodi toka kwa Team Edo.........
Kama magufuli alivyoshindwaAcha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Labda mie kipofu wa mambo ya kijasusi. Maana promotion zinazopewa kwa hawa makachero naishia kushangaa tu. Kama mnatuambia mwan'gonda alikuwa kambi ya lowassa, mbona hakufanikisha ashinde uchaguzi? Imebakia historia mara alishinda lakini hakutangazwa. Kwa maoni yangu naona makachero wanapewa nguvu isiyosawili, wakati watanzania wanataka maisha bora. Ukachero una trend kuliko matatizo ya watanzania. Hembu tujaribu kuvua kwanza joho la ujasusi, halafu tuwaangalie uhalisia wao kama wanaweza kutuvusha salama. Ukachero! Ukachero! Ah!