Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Duu !! Kumbe Mh. Membe kawa tishio kwenye chama chetu kiasi kwamba yatulazimu tutumie nguvu kubwa kwa namna hii.

Team Membe Plus network ya JK na wanaoendelea kuumizwa na mfumo wa sasa hata kama hawakuwa Team Membe......
Wote wako tayari kukusanya nguvu kuwa against JPM.....
Sasa hapo ni pazito, ikabidi tu JPM aanze kujifunza siasa hata kama azitaki.....
Unapinga ufisadi...Then unawapa nguvu tena akina Rostam wakati walikuwa blacklisted tayari....
Hiyo ndiyoo siasa ya bongo....
 
Siasa na matajiri ni mapacha, ukijifanya unapenda sana wanyonge kuliko ma don lazima uangukie pua. muda wa kina Bashite umekwisha ni muda wa watu wazito wenye akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa na matajiri ni mapacha, ukijifanya unapenda sana wanyonge kuliko ma don lazima uangukie pua. muda wa kina Bashite umekwisha ni muda wa watu wazito wenye akili zao.

Uko sahihi..
Naona sasa JPM anaanza kuuvaa Urais......
Huenda sasa akaacha na ukatili wake.....
 
Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Mbaya zaid walimrekodi
 
Zamani kipindi tukiimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM", sikuelewa kwa usahihi kwa Nini viongozi wengi wa kiafrika na Amerika ya Kusini waliondolewa madarakani kwa mapinduzi ya majeshi. Tuliambiwa na tukaamini hivyo kuwa Ni kwa sababu Mabeberu walituonea wivu kwa ajili ya rasilimali za nchi zetu. Ambacho hatukufahamu Ni juu ya ukatili wa kutisha uliokuwa ukifanywa na watawala hawa dhidi ya wananchi wa nchi zao. Mauaji holela, hila dhidi ya wapinzani, hiana dhidi ya matajiri, kuminya Uhuru wa watu, ulevi wa madaraka vikichagizwa na umaskini uliokithiri miongoni mwa raia,vilikuwa mbolea iliyostawisha mapinduzi na mauaji ya viongozi hasa Africa.
Nilifikiri kuwa Maprofesa wabobezi wa historia na Sheria Kama akina Kabudi na Mwakyembe wangeyafahamu haya na kutoa ushauri nasaha, kumbe nao ni wachumia tumbo tu!!!
Dr Azaveli Lwaitama ameishawaonya, anasubiri kutekwa tu.
 
Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Heee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom