Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Je inawezekana makaratasi aliyompa ndio yamepelekea kumtumbua Mwandosya? Is it a coincidence?
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Kama mambo hayaendi sawa akae kimya?Acha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.[/QUOHuyo sijui boss wa FBI kuwa timu upinzani wakati ule n mkakati na kete zilipangwa sawia Magwanda wakafeli
Si kweli, akifanikiwa amefanikiwa yeye, na ndio maana kila kitu chattle, hasikilizi mtu, bonge na pilato ni yeye na yeye tu, kwa hiyo akifanikiwa anafanikiwa yeye.Acha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Tena wapenda sifa,ujuaji mwingi na kutafuta kick za kishamba.Umetag mapopoma wawili ndo watoe ukweli wa hisia zako,ok acha tubaki spectators
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Chiluba na Mugabe waliamua wenyewe,vipi kuhusu Zuma?Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Hapa ni maslai yake binafsi tuu,hakuna maslai ya Nchi sababu huyo anaesakamwa hajafungua mdomo wake wala kuvunja katiba ya chama na Serikali.Acha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Safi sana,lakini kumbuka siku ya kufa Nyani Miti yote uteleza.Apson ni DG wa TISS wa milele ? mbona hawaitwi waliotoka juzi ? halafu siyo smart kihiiivyoo , pamoja na JK kumbeba sana mtoto wake lakini alishindwa kumuokoa , mwisho wa siku akapigwa chini Mbeya , halafu ni mtu aliyepitwa na wakati
Someone is missing in the picture (and it's actually a really big picture): The incumbent DGIS. Muanzie hapo!Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
Zimbabwe, Afrika Kusini, Gambia, Tunisia, Egypt nk ziko bara ulaya?Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Someone is missing in the picture (and it's actually a really big picture): The incumbent DGIS. Muanzie hapo!
Kachero, nimesoma post nyingiiiiiii Sana lakini bado umesimamia DGIS alipo. Kwani Yuko wapi? Au Nini kinamsibu mtumishi wetu??Someone is missing in the picture (and it's actually a really big picture): The incumbent DGIS. Muanzie hapo!
Ngoja majasusi waje mkuu.
Akishindwa wanashindwa wapinga mbinja wakeAcha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Wapiga filimbi wa jiwe inaonekana membe kawavuruga sanaMembe hana mpango kisiasa, anajisumbua tu na kujidhalilisha. Anaacha kujikalia huko aliko na kunya kwa starehe, anakuja kutunyea hadharani sie.