Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

...Nyuki hakumbatiwi...
Kuna mtu alikong'oli hapa JF kuwa ...misemo haijengi...
 
If someone throws a stone towards u,
Throw love towards him/her.

But if someone throw love towards u...!
Then sit for a while & think coz love hurts more than stone
.
 
Mtu akipewa number ya simu ya uongo

"Mshkaji kanipa number ya gari"
 
Mimi msemo huu nimeuzimikia "While politicians think about the next election, Statesmen think about the next generation "
 
"Be careful of your thought;they may become words any moment." IARA GASSEN

Get your facts first,then you can distort them as much as you please." MARK TWAIN
 
A Latin saying: 'Roma locuta est-causa finita est'..meaning: Roma has spoken,the case is closed
 
" POLITICIANS THINK ABOUT THE NEXT ELECTIONS WHILE STATESMEN THINK ABOUT THE NEXT GENERATION " Wanasiasa wetu wote akili zao siku zote ziko kwenye mbinu za jinsi ya kushinda chaguzi kwa harali au kwa haramu!! Mtu pekee katika nchi yetu aliyekuwa anajali maslahi ya vizazi vijavyo katika maamuzi yake alikuwa MWALIMU NYERERE basi!! Ndio maana hakuwa na pupa ya kuwaleta wazungu kuchimba madini yetu kwani alijua kuwa wakati muafaka ulikuwa bado; angalia sasa hawa mafisadi wanavyohujumu maliasili yetu mpaka wakina Lowassa wanadiliki kuuza mbuga zetu za wanyama kwa matajili ili wajenge mahoteli. Kambarage angeanza kwa stili hiyo leo kungekuwa na SERENGETI??
 
Last edited:
Pesa sio msingi wa maendeleo!!!!!!!!!!!!!-JKN

Hapa kuna tatizo kubwa kwa kweli!

...na kweli, labda 'alikusudia' nyakati za ujima (barter trade) ndani ya siasa ya Ujamaa na kujitegemea, ingawa vile vile naweza kukubaliana naye, bila mipango thabiti, kweli pesa huenda ikakuzamisha badala ya kukuendeleza.
 
Back
Top Bottom