Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

The way young man spends his evenings is a part of that thin area between success and failure!
 
If you keep on saying things are going to be bad, you have a good chance of being a prophet!
 
The first human being who hurled an insult instead of a stone was the founder of civilization
 
Mie kuna haka kaquote ambacho nadhani wasiojua kukitafsiri kinapotosha
"Mficha Uchi hazai"
 
Kiswahili nkigumu
bora kuunguliwa na gorofa ,kuliko kuunguliwa na kichwa
kesa kuhyeewa ni nyumba,kuliko kuhyeewa ni mtwi
 
"Unaweza kutaja tendo la kujamiiana na mkeo kwa kilugha mbele ya mzazi wako?
Basi nakwambia ni rahisi kutaja neno hilo la kiujamiiana kwa kilugha mbele ya mzazi wako kuliko kutaja jina la mmilikiwa kampuni ya Dowans pale Tanzania." Madela Wa- Madilu
 
mtu mzima hakombi Mboga...
Ila ikitokea akakomba basi wanasema Kaipenda
 
You shouldn't have come here. This is a civil war. This is our war, not yours.
 
Everybody love success but they hate successful People.
 
Back
Top Bottom