Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

"...na ndio siri ya maendeleo ya waliokwenda haraka sana kimaendeleo kule south asia hawakukaa sana na haya mambo ya haki za binadamu kwa wanaohujumu uchumi. Hakuna haki ya binadamu kwa anayehujumu uchumi." --- Spika Sitta


.
 
Ulionivutia mimi ni huu

"Ukitakua kula Uliwe kwanza" by JK
 
"Tanzania itawapa ardhi wawekezaji makini tu, na si watu wasio na ardhi kutoka Afrika Mashariki," D. kamala, waziri wa Ushirikian wa Afrika Mashariki, August 25, 2008.
 
muungano ni kama koti, likikubana livue...hayati mzee karume alipowaasa wazenji juu ya muungano
 
Hakuna mtu aliye sawa kila mtu anamapungufu yake tunachotakiwa ni kuziba mianya ya wezetu kwa kurekebishana ili gurudumu lisonge . Hata saa ya mishale iliyokufa huwa inasema Muda sahihi mara mbili kwa siku.

saa ya mishale au mishale ya saa? msemo nimeupenda sana!
 
NO money
NO honey.....kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii hapo mtu keshapigwa kibuti
 
"This is what has started the fight and the fight is still going on. They are even using gay gangsters on us." Mugabe on Tony Blair and his Government.
 
Back
Top Bottom