Isa The Girl
Member
- Jul 12, 2022
- 10
- 20
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani.
Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na maana yake katika tamaduni yetu.
Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na maana yake katika tamaduni yetu.