Ni Nini Kinampa Mwanaume Heshima Katika Jamii?

Ni Nini Kinampa Mwanaume Heshima Katika Jamii?

Mwanaume kama huna uwezo wa pesa hata mke mmoja haifai kuwa naye...Kwani we unadhani kuoa mana yake ni kusex tu au kuhudumia mke wako kila kitu.

Sijui wenzetu mmelewa katika mazingara gani mana sisi kabla ya kuoa mzazi wako anakufundisha nini mana ya ndoa.

Mana ya ndoa sio kusex tu.

-Huwezi kuoa kama huna uwezo wa kumtunza huyo mke wako.

-Mke wako lazima umhudimie kila kitu yani mke wako akijinunulia kitu ujuwe kisha kudharau unless ananue kitu kisiri siri wewe usijuwe.

-Mwanaume mwenye kujiheshimi ni yule anaye mhudimia mke wake kila kitu yani lazima awe na uwezo kama hana uwezo huyo ni ---- tu wala asiende kuoa.


Mkuu, uliposema kuoa wake 4 ndo kuna leta hekima haikuwa wazi. So maana yako ni kuwa kutunza mke na familia ndo inaleta heshima.
 
Heshima ya duniani ni ubatili mtupu, Kumpenda Mungu na kumheshimu kunampa M/mume heshima katika jamii
 
Nataka kutumia huduma ya Jasons personalized paypoint:becky:

Acha fujo bana!

Nenda na Mbebs wa Ukweli Smile ukaenjoy mwaka mpya. Mutu yake si Muzungu. Ni Ile Mutu Mukulu Mukulu kutoka Congo. Ile Mutu ya Pesa Mingi ile Mokili ya Muzambe nakusala nini inampendelea!
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii

Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine iwe ni mara ya kwanza au si mara ya kwanza. Kulikuwa na tofauti kubwa sana ya mawazo, kwa ufupi ilidaiwa heshima ya Mwanaume inatokana na:


  1. Kiasi cha pesa alichonacho na jinsi anavyotumia
  2. Aina ya mavazi anayovaa na ni ya gharama kiasi gani
  3. Kitambi chake
  4. Ucha Mungu wake
  5. Anavyoitunza familia yake
  6. Gari anayoendesha ni ya namna gani
  7. Mali na Utajiri wake
  8. Cheo chake kazini
  9. Huduma yake kwa jamii na jinsi anavyojitoa
  10. Kuwa na marafiki wengi nk nk.

Je ni nini maoni yako? Heshima ya Mwanaume katika Jamii hasa inatokana na nini hasa?

Mie naona ni kitambi chake..The bigger the kitambi the more the heshima...
 
Swali zuri lakini kuhainisha naona hapo aijaenda sawa kwani vigezo nivingi labda ungeuliza Pesa.Kazi aifanyayo,Mavazi ayavaayo??au yeye binafsi anavyo jiheshimu!....maana unaweza kuwa na kila kitu lakini bado ukakosa heshima hivyo ukawa hauheshimiki katika jamii mimi nikikutana na mtu kwa mara yakwanza naangalia heshima aliyonayo kwamtu ambaye hamjui wala kumfahamu hata angekuwa na pesa kama mchanga ukikosa heshima kwangu wewe ni bure!
Thats my brother!!!
 
Mkuu nimekupata vema. Je mtu akiwa na Mali na utajiri bila kujali anavaa nini, anakula nini na mwonekano wake ukoje hata kama ni hovyo hovyo inakupa heshima pia?

Je afya ya mtu inampa heshima pia?

Kwenye kuvaa mkuu hapa kuna utata mkubwa sana inategemea wewe utajiri wako na mali zako zimetokana na nini...
Iko hivi mfano wewe ni mfanyabiashara unaweza ukawa unavaa nguo za kawaida tu lets say t shirt na jeans ila hapo wewe unaona umevaa simple lakini kuna mtu ataona wewe umevaa ovyo na kuanza kusema the guy is rich ila hajijali..

Au ukavaa pensi ila watu wengine wakawa wanasema wewe unavaa ovyo...

Na usiombe ukahudhuria events za fashion kuna huu upuuzi siku hizi unaitwa "fashion police" hata ukivaa vizuri wao wanaanza kukukosoa kuanzia juu mpaka chini so suala l kuvaa vizuri ni wewe kuwa huru na mwili na macho yako

Kuhusu afya nayo ni tatizo kwani mtu kuwa na kitambi ni tatizo la afya ila na wew umeiweka kama sababu ya kukupandisha heshima kwa jamii
 
Mkuu, uliposema kuoa wake 4 ndo kuna leta hekima haikuwa wazi. So maana yako ni kuwa kutunza mke na familia ndo inaleta heshima.
Hata hao wanne ni wake zako na watoto watakao zaliwa ni wako tu.
 
?

Mkuu Hekima unayosema inayobeba mambo yote ni kama ya Suleimani? Au una maana kuwa Mcha Mungu?

Hiyo hekima hata isipofikia kiwango cha Mfalme Suleiman, ili mradi unayo itakusaidia kutenda mengi kwa busara na hivyo kujipatia heshima katika jamii.
 
Mkuu ina maana Ankal yule wa Mashindano ya U-Miss ana heshima sana hapa mjini? Na hao Ma Bebs wa Ukweli ukiwamega kwa mfano huyo KYLN sijui, yule Babu wa Mikocheni atakuwacha au ata ku-RIP?

Na huyo Mke wa Rais wa TFF au wa nini?

Au Mkuu una maana utapata kifo cha heshima?

Yaani hiyo comment imenichekesha mpaka basi!
 
mkuu huku kwetu utaeshimiwa ukizungusha sana round bar, mupe yule murudie tena na tena hapo heshima mbele
BTW karibuni wana JF tuliendeleze libeneke....leta bia unafanya mchezo 2012 ilivyotufanya wengine........
 
Back
Top Bottom